Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Kandambili Kupeleka Kenya

Joined
Apr 12, 2018
Posts
71
Reaction score
33
Heshima kwenu wakuu nimekaa na kujaribu kuwaza hivi nikichukua mzigo wa Kandambili sample nimeweka hapo chini nikaenda kuuza kenya.

Maana kwa pair huku zinapatikana kwa 1500 nadhani nikivuka border naweza kuuza hadi 1800- 2000 kwa pair.

Changamoto yangu Sina wenyeji Kenya Wala sijawahi kuvuka border kwenda huko mawazo yangu mwenye connection na wafanyabiashara wa huko Kenya anaweza nisaidia. Napokea ushauri, maoni na kukosolewa asanteni Sana.

Heshima Sana kwenu wanajamvi.

IMG_20221114_214803_898.jpg
 
Yaani bidhaa za viwandani unapeleka Kenya? Hivi unajua Kenya wapo mbali kiviwanda kwenye huu wa EA? Miaka ya nyuma Tanzania ilitumia kandambili bata za Kenya
Oooh but still biadhaa zinaweza kuvompete sokoni
 
Kwa ushauri wangu,usithubutu kufanya biashara halali ya kuvuka mipaka ya nchi bila kuwa na uelewa wa kutosha sana juu ya biashara unayotaka kuifanya,utaumia.Ikibidi kwanza nenda ukaone uhalisia wa soko,upige hesabu ndio uamue,kwani huwa kuna kuwa na gharama nyingi sana,(ushuru/kodi na usafiri)
Sasa kushindana sokoni inategemea na gharama,mfano hizo bidhaa ziwe zina zalishwa hapo kenya, mtu ananunua hapo ,wewe uzitoe huku ulipie usafiri,kodi,na ushuru utegemee sokoni utaziuza nafuu kuliko yeye,anayezifuata kiwandani kwa baiskeli?!
 
Uzi ufungwe
 
Huyu mtoa mada anatafuta sehemu ya kwenda kuzika pesa zake.
Watu wanaenda kuchukua viatu Kenya na kuleta Tanzania sasa yeye anataka afanye kinyume chake yaani achukue viatu Tanzania apeleke Kenya hapo ni kuzika hela.
Kenya ndio nchi yenye viwanda mama Afrika Mashariki,kwa hiyo huwezi kwenda kuwauzia bidhaa za kiwandani.
Labda bidhaa za kutoka shambani hapo sawa unaweza ukauza
 
uko border ipi!? kenya wapelekee mahindi, maharage na mazao mengine ya chakula utapiga pesa. Bidhaa za viwandani hata usithubutu, labda bia na soda za tz wanazipenda sana kwa sababu zina kimea halisi na zina ladha nzuri kwa upande wa vinywaji baridi. Wapelekee energy drinks kama za azam, mo energy, na nyinginezo unazojua wewe
 
Huu ndio ukweli [emoji3578][emoji106]
 
Njoo nikuuzie mahindi huku muhukuru border ya msumbiji ukwauzie kenya ila umechelewa utapiga pesa ndogo
 
ushauri: kama uko dar peleka mikoani kama songea, mwanza, Dodoma utapiga pesa
 
Back
Top Bottom