Anthony Kabeho
Member
- Apr 12, 2018
- 71
- 33
Oooh but still biadhaa zinaweza kuvompete sokoniYaani bidhaa za viwandani unapeleka Kenya? Hivi unajua Kenya wapo mbali kiviwanda kwenye huu wa EA? Miaka ya nyuma Tanzania ilitumia kandambili bata za Kenya
Kwa ushauri wangu,usithubutu kufanya biashara halali ya kuvuka mipaka ya nchi bila kuwa na uelewa wa kutosha sana juu ya biashara unayotaka kuifanya,utaumia.Ikibidi kwanza nenda ukaone uhalisia wa soko,upige hesabu ndio uamue,kwani huwa kuna kuwa na gharama nyingi sana,(ushuru/kodi na usafiri)Oooh but still biadhaa zinaweza kuvompete sokoni
Uzi ufungweKwa ushauri wangu,usithubutu kufanya biashara halali ya kuvuka mipaka ya nchi bila kuwa na uelewa wa kutosha sana juu ya biashara unayotaka kuifanya,utaumia.Ikibidi kwanza nenda ukaone uhalisia wa soko,upige hesabu ndio uamue,kwani huwa kuna kuwa na gharama nyingi sana,(ushuru/kodi na usafiri)
Sasa kushindana sokoni inategemea na gharama,mfano hizo bidhaa ziwe zina zalishwa hapo kenya, mtu ananunua hapo ,wewe uzitoe huku ulipie usafiri,kodi,na ushuru utegemee sokoni utaziuza nafuu kuliko yeye,anayezifuata kiwandani kwa baiskeli?!
Huyu mtoa mada anatafuta sehemu ya kwenda kuzika pesa zake.Kwa ushauri wangu,usithubutu kufanya biashara halali ya kuvuka mipaka ya nchi bila kuwa na uelewa wa kutosha sana juu ya biashara unayotaka kuifanya,utaumia.Ikibidi kwanza nenda ukaone uhalisia wa soko,upige hesabu ndio uamue,kwani huwa kuna kuwa na gharama nyingi sana,(ushuru/kodi na usafiri)
Sasa kushindana sokoni inategemea na gharama,mfano hizo bidhaa ziwe zina zalishwa hapo kenya, mtu ananunua hapo ,wewe uzitoe huku ulipie usafiri,kodi,na ushuru utegemee sokoni utaziuza nafuu kuliko yeye,anayezifuata kiwandani kwa baiskeli?!
Huu ndio ukweli [emoji3578][emoji106]uko border ipi!? kenya wapelekee mahindi, maharage na mazao mengine ya chakula utapiga pesa. Bidhaa za viwandani hata usithubutu, labda bia na soda za tz wanazipenda sana kwa sababu zina kimea halisi na zina ladha nzuri kwa upande wa vinywaji baridi. Wapelekee energy drinks kama za azam, mo energy, na nyinginezo unazojua wewe