Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

Rangooo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
243
Reaction score
408
Habari wana jamvi,

Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
 
Inategemeana naeneo unaalouza Kama uko mkoani mawilayani yenye vijiji vingi utauza sna
 
Back
Top Bottom