Habari wana jamvi,
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.