Naomba ushauri kuhusu biashara ya nguo Mwanza

Joined
Jan 25, 2021
Posts
58
Reaction score
51
Wakuu samahani naomba ushauri.

Nataka kuanzisha biashara ya nguo na mikoba nanunua Dar napeleka Mwanza.

Natafuta location Mwanza mjini ambayo itaendana na biashara yangu.

Transport cost kutokea Dar mpaka Mwanza.

Sehemuu nzuri ya kuchukulia mzigo Dar, mtaji laki tano.

[emoji3577]
 
Location ya maeneo ya chuo (Hasa chuo cha SAUT, Malimbe) nadhani ingefaa zaidi kwa biashara ya mikoba yakike japokuwa wanafunzi wako mbioni kufunga ila ni vizuri ukitafuta eneo kabisa na ukavizia chuo kikifunguliwa uwepo itapendeza. Nimesuggest hilo sababu ndipo nilipo pia ungefika kufanya uchunguzi wako binafsi
 
Huko biashara inafanyika watoto wakipokea boom (kila baada ta miezi miwili) napo ni selectively, baada ya hapo mara nyingi inakuwa ni msoto wa maana.
 
Wakuu samahanii naomba ushauri.

Nataka kuanzisha biashara ya nguo na mikoba na nunua Dar napeleka Mwanza.

Natafuta location Mwanza mjini ambayo itaendana na biashara yangu.

Transport cost kutokea Dar mpaka Mwanza.

Sehemuu nzuri ya kuchukulia mzigo Dar, mtaji laki tano.

[emoji3577]
Mtaji wa laki 5 hautoshi,chumba cha biashara utapanga kwa bei gani? Leseni utakata kwa bei gani?kudrsign duka kama kuweka shelves utatumia bei gani? Bado uende Dar kufuata mzigo nauli ya kwenda na kurudi tu ni zaidi ya laki. Labda kama ulimaanisha mtaji milioni 5.

Ila kama ni laki 5 kama ulivyoandika basi fanya biashara ya chakula unapika unafanya delivery kwenye ofisi na maduka,au matunda unakata kata unaweka kwenye vikontena unauza
 
Mkuu viatu kama hivi vya wanawake na watoto wa kike bei ya jumla ni shilingi ngapi?
IMG_20230704_184842_113.jpg
 
Mtaji laki 5
Biashara inatoka da'slam kwenda Mwanza
Hili nalo akalitazame, unataka uuze nguo gani special au mtumba.

Mtoa mada ni mgeni wa biashara, mtaji wa laki tano 5 ni machinga tafuta goli la njee ufungue nguo za mtumba uuze, au nguo za special uza boxer na chupi za wadada pamoja na soksi.....

Usihangaike kuagiza nguo dar, hivi sasa nguo hata hapo mwanza zipo za kutosha.

Kama bado hujaanza ushauri ndiyo huu huna haja ya kwenda dar utapoteza laki 5 yako bure.
 
Mkuu viatu kama hivi vya wanawake na watoto wa kike bei ya jumla ni shilingi ngapi?View attachment 2678743
Bei ya jumla ni 8000, kwa 7500 ila ukinunua carton nzima vipo labda 24 ni 6500 kila pair, 24 ×6500 hiyo ndio carton
Kumbuka carton utapewa kiatu chenye ua aina moja tu au sample aina moja tu sema namba 36-41, 37-42. Huwa iko hivo, mimi kama mimi ni mfanyabiashara wa viatu vya dukani uliza swali lolote ntakujibu.
 
Mkuu uza mikoba pekee, nguo uza baadae, sema mjini kati hupati fremu. Tafuta kibaraza kwa mtu mlipe 30000 kwa mwezi alafu chukua hanger zile tundikia mikoba yako subiri wapite.
Uza fb, insta na hapa jf......huwezi kosa wateja wa kuanzia nje ya laki 5 uwe na pesa ya kusogeza maisha ili ukuze mtaji wako.
 
Bei ya jumla ni 8000, kwa 7500 ila ukinunua carton nzima vipo labda 24 ni 6500 kila pair, 24 ×6500 hiyo ndio carton
Kumbuka carton utapewa kiatu chenye ua aina moja tu au sample aina moja tu sema namba 36-41, 37-42. Huwa iko hivo, mimi kama mimi ni mfanyabiashara wa viatu vya dukani uliza swali lolote ntakujibu.
Asante sana
 
Hili nalo akalitazame, unataka uuze nguo gani special au mtumba.

Mtoa mada ni mgeni wa biashara, mtaji wa laki tano 5 ni machinga tafuta goli la njee ufungue nguo za mtumba uuze, au nguo za special uza boxer na chupi za wadada pamoja na soksi.....

Usihangaike kuagiza nguo dar, hivi sasa nguo hata hapo mwanza zipo za kutosha.

Kama bado hujaanza ushauri ndiyo huu huna haja ya kwenda dar utapoteza laki 5 yako bure.
Kazingua mdau hata kama kweli ni fala
Kwa bei yake ni mmachinga wa kuuza viurembo vya kina dada na vitoi vya watoto na vile inaweza kisionekane nini anafanya
 
Bei ya jumla ni 8000, kwa 7500 ila ukinunua carton nzima vipo labda 24 ni 6500 kila pair, 24 ×6500 hiyo ndio carton
Kumbuka carton utapewa kiatu chenye ua aina moja tu au sample aina moja tu sema namba 36-41, 37-42. Huwa iko hivo, mimi kama mimi ni mfanyabiashara wa viatu vya dukani uliza swali lolote ntakujibu.
Kesha sema Laki 5 unamlengesha biashara ya 8000
Mlengeshe nyarungombe asakule mchina 2500-3500
Akatembeze kwa 7000_8000
 
Sawa kabisa, biashara nyingine nzuri akamate goli auze bracelets na culture za kuvaa mkononi pia vikukuu.
Akishindwa kabisa auze begi za shule.
Sina uhakika kama pesa anayo au vipi, maan laki 5 ndogo tu, ila kuipata sasa.
 
Back
Top Bottom