Anatakiwa kuwa na ngapi ...shauriHiyo pesa ni ndogo sana kwa biashara ya nguo.
Ni kubwa kwa kkoo!Hiyo pesa ni ndogo sana kwa biashara ya nguo.
Ni kubwa kwa kkoo!
Blouse za kina dada ni 5000@ akochukua round 4 atakuza mfaji fast!
Blouse ya 5000unakuja uza 10000 -12000!ila msosi na malazi iwe nyinginr sio hii
Bidhaa nyingi hata nguo ni nafuu sana maneo ya katoro, sio simulizi ya kuambiwa nimekuwepo hapo , uganda pia ni pazuri ila usijaribu kufanya ujanja wowote maneno ya mipakani utaishia jelaNipe mwongozo kiongozi, kuhusu hizo sehem, ntashukuru sana
Nguo za aina gani? xa mitumba au Za duka?Habari zenu ndugu,
M ni kijana ambaye nmekuwa na mawazo ya kufanya biashara ya nguo kwa mda sasa, nlikuwa naomba ushauri kwa wazoefu wa biashara wanaofanya mikoani, na sehem wanapozitoa, na kwa mtaji mfano wa milion1 unaweza ukakuingizia faida kias gani (kwa cycle, ),
Ningependa kupokea ushauri kwa aina zozote za nguo, kama za kike au za kiume,
Asanteni na aman iwe kwenu
Jitahidi uwe umeshalipia pango na Cash uwe nayo angalau 2,500,000.Za duka kiongozi
Vip ndugu kuhusu hizi nguo za kiume, au kwa ushauri inatakiwa mtaji hata wa sh ngapi