Anza taratibu ukiwa smart utaakuwa, kuna producers wa vitu wanatoa vitu kwa creditHabarini ndugu zangu,nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa dodoma,sehemu ya mkonze,je kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)cement, misumar, binding wire, kench wire ya pili (ii)na hii yakuuza vifaa vya kwa ajiri ya finishing ambavyo n gypusum powder, crew, board, rangi(emulsion+plascon under coat), mikanda pmj na board.hii mill 3 n mtaji tu ndugu zangu ela yakutafutia frem ninayo nayo laki tatu
Mkuu hiy mill 3 n ya mtaji kama mtaji ela sijui ya frem,pmj na issue sijui za lesen nayo namazaga zanga mengine nimeshaitenga kivyakeMilioni tatu ukitoa tozo utabaki na milioni 2 na laki 6,kila la kheri mkuu
Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yanguKwa hardware naona mzee Mil 3 ndogo. Sijui target yako ni mjini au? Mil 3 ungeangalia labda hardware upande wa:
1. Vifaa vya umeme tu.
2. Vifaa vya mabomba tu (plumbing)
Anza na vitu specific.Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yangu
Mzee sikukatishi taama ila angalau ungeewekeza milion tano au San kwa kuanziaaHabarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire
(ii)Na hii ya kuuza vifaa vya kwa ajiri ya finishing ambavyo n gypusum powder, crew, board, rangi(emulsion+plascon under coat), mikanda pmj na board.
Hii mill 3 n mtaji tu ndugu zangu ela yakutafutia frem ninayo nayo laki tatu
Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yangu
Hapo sawa naunga mkono.. Anza ivo kwa kua na specific niche.Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yangu
Anza na kitu kimoja kwanza. Mfano misumari tu, cement tu, nk.Mkuu hiy mill 3 n ya mtaji kama mtaji ela sijui ya frem,pmj na issue sijui za lesen nayo namazaga zanga mengine nimeshaitenga kivyake
Hornet..!Emulsion ndoo 100
2450000
Ili uweze kuuza kwa faida
Hapo anza tu na vifaa vidogo vidogo