Naomba ushauri kuhusu biashara ya vitenge hususan vya Congo

Hivi Nida nako vitenge feki? Kati ya kkoo na NIDA wapi vitenge feki
Nida wanatengeneza wax ila wax za Tanzania hizi nazo feki, kariakoo utakutana na wax za nida au China. Za kutoka kongo na Nigeria huwezi pata ambavyo ndio Og.
 
Dah ukitaka kupata original dada mpaka wapi sasa
 
Kongo hawana Kiwanda cha Vitenge zote zinatoka West Africa. Kongo ni njia tu
Nida wanatengeneza wax ila wax za Tanzania hizi nazo feki, kariakoo utakutana na wax za nida au China. Za kutoka kongo na Nigeria huwezi pata ambavyo ndio Og.
 
edwin4

Mkuu kama utahitaji vumbi la Congo nicheck PM tufanye biashara ili nawe ukawauzie huko kwenu upige hela
 
Back
Top Bottom