Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Usiogope, inawezekana kuna vitu anavikosa kwako anapata kwa huyo mwingine
Huu ndio ukweli huweI moa mke kila kitu atakacho na wewe pia mke hawezi kukupa vyote utakavyo
 
Kiongozi, kaka, mjomba natamani nikuite majina yote ya heshima ila lengo ujue tu nimekuheshim na uheshim ushauri wangu.

Hakuna msamaha Kwa mwanamke msaliti, najua ww ni mwanaume na lazima utakuwa na michepuko nje ila hiyo haikufanyi ulinganishe na usaliti wa mke wako.

Kaa nae mbali huyo mke, angalia namna mzuri ya kulea watoto wako.

Ameshaonja tayari hawez kuacha, nakuambia tena hawez kuacha.. amepoteza kabisa hisia kwako ila Kwa yule kijana zipo.

Mpaka ameamua kukuletea ndani kwako sebleni, si ajabu mpka chumbani aiseee.
 
Piga chini huyo kahaba. Once a btch always a bitchi. Man up!

Ukiendelea kuwa naye, tarajia madhara zaidi... kiafya & kiuchumi.

We endelea kulia lia kitoto eti ooh ''nampenda sana'' afu mwisho wa picha steering ufie kwenye maua.

ARVs are just around the corner bro! 😎

-Kaveli-
 
Nilikuwa very committed ndugu
Piga Chini huna mke hapo. Frank anasubiri majibu na wanaendelea kuwasiliana mpaka dakika hii.

Nina experience kidogo..mke akigombana na mme wake lazima mchepuko wake aambiwa kila kitu afu.wanachekaa kweli kweli.

Huyó mkeo kashahahama.kiroho kutoka kwako ni basi tu anajiliza kinafiki
 
Mzee inawezekana unalea watoto wa bodaboda. Kosa kubwa sana ulilofanya ni kupenda, mambo ya ku fall in love waachie kwenye movies tu.
Kitu kufanya sasa hakikisha usalama wa watoto tu, huyo mama achana nae
 
Mzee inawezekana unalea watoto wa bodaboda. Kosa kubwa sana ulilofanya ni kupenda, mambo ya ku fall in love waachie kwenye movies tu.
Kitu kufanya sasa hakikisha usalama wa watoto tu, huyo mama achana nae
Ushasema analea watoto wa bodaboda
 
Kama hauwezi kumwacha msaliti hakuna haja ya kumchunguza.
Siku zote huwa nasema haya,kama huwezi kumwacha mtu kuna haja gani ya kumchunguza?

Maana kama huwezi kumwacha ndio shida inaanzia hapa

Kama unataka kumchunguza mwenza wako hakikisha una ujasiri wa kumalizana na mwenza wako

Mangi kula pop con
 
Mimi Sina mpango nae mwaka wa nne sasa ila ndo sijapata mwanamke wa maana mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…