Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Usiogope, inawezekana kuna vitu anavikosa kwako anapata kwa huyo mwingine
Huu ndio ukweli huweI moa mke kila kitu atakacho na wewe pia mke hawezi kukupa vyote utakavyo
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Kiongozi, kaka, mjomba natamani nikuite majina yote ya heshima ila lengo ujue tu nimekuheshim na uheshim ushauri wangu.

Hakuna msamaha Kwa mwanamke msaliti, najua ww ni mwanaume na lazima utakuwa na michepuko nje ila hiyo haikufanyi ulinganishe na usaliti wa mke wako.

Kaa nae mbali huyo mke, angalia namna mzuri ya kulea watoto wako.

Ameshaonja tayari hawez kuacha, nakuambia tena hawez kuacha.. amepoteza kabisa hisia kwako ila Kwa yule kijana zipo.

Mpaka ameamua kukuletea ndani kwako sebleni, si ajabu mpka chumbani aiseee.
 
Piga chini huyo kahaba. Once a btch always a bitchi. Man up!

Ukiendelea kuwa naye, tarajia madhara zaidi... kiafya & kiuchumi.

We endelea kulia lia kitoto eti ooh ''nampenda sana'' afu mwisho wa picha steering ufie kwenye maua.

ARVs are just around the corner bro! 😎

-Kaveli-
 
Nilikuwa very committed ndugu
Piga Chini huna mke hapo. Frank anasubiri majibu na wanaendelea kuwasiliana mpaka dakika hii.

Nina experience kidogo..mke akigombana na mme wake lazima mchepuko wake aambiwa kila kitu afu.wanachekaa kweli kweli.

Huyó mkeo kashahahama.kiroho kutoka kwako ni basi tu anajiliza kinafiki
 
Mzee inawezekana unalea watoto wa bodaboda. Kosa kubwa sana ulilofanya ni kupenda, mambo ya ku fall in love waachie kwenye movies tu.
Kitu kufanya sasa hakikisha usalama wa watoto tu, huyo mama achana nae
 
Mzee inawezekana unalea watoto wa bodaboda. Kosa kubwa sana ulilofanya ni kupenda, mambo ya ku fall in love waachie kwenye movies tu.
Kitu kufanya sasa hakikisha usalama wa watoto tu, huyo mama achana nae
Ushasema analea watoto wa bodaboda
 
Kama hauwezi kumwacha msaliti hakuna haja ya kumchunguza.
Siku zote huwa nasema haya,kama huwezi kumwacha mtu kuna haja gani ya kumchunguza?

Maana kama huwezi kumwacha ndio shida inaanzia hapa

Kama unataka kumchunguza mwenza wako hakikisha una ujasiri wa kumalizana na mwenza wako

Mangi kula pop con
 
Piga Chini huna mke hapo. Frank anasubiri majibu na wanaendelea kuwasiliana mpaka dakika hii.

Nina experience kidogo..mke akigombana na mme wake lazima mchepuko wake aambiwa kila kitu afu.wanachekaa kweli kweli.

Huyó mkeo kashahahama.kiroho kutoka kwako ni basi tu anajiliza kinafiki
Mimi Sina mpango nae mwaka wa nne sasa ila ndo sijapata mwanamke wa maana mpaka sasa
 
Back
Top Bottom