Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Kama anawez kukir na kukupa heshima endelea for the sake of children, ila hakikisha awe amejikomit kutofanya hvyo tena , akirudia au ukihisi tena pga chin
 
UKIONA MWANAMKE ANAANZISHA MANENO, KAMA UKO BUSY NA WANAWAKE ZAKO, HUTUMII MUDA NA MIMI, KITANDA KINAKUA KIMEINUKA UKIFANYA NGONO NA MIMI...!

JUA MWANAMKE WAKO ANATOKA NJE..!
 
Kama anawez kukir na kukupa heshima endelea for the sake of children, ila hakikisha awe amejikomit kutofanya hvyo tena , akirudia au ukihisi tena pga chin
Nani alikwambia ataacha?
 
Hili sio la kushauliwa bwana humo hamna mke piga chini hiyo ni tabia yake mzeebora nusu shari kuliko shari kamili
 
Daa,ila ndoa za sikuhizi 🙌
 
Siku hizi umekua bonge la Mama kihekima tofauti na kipindi kile una u-feminism ukiongozwa na Kungwi katika hiyo fani Makiwendo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Yaani muda wote huo zaidi ya mwaka ndo wawe wametommbana mara mbili tu?
 
Mi nilikaa siku, miezi na miaka, kwanini wewe ushindwe?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kwanza, uyo mke wako nina uhakika hukumuoa bikra hivyo sio jambo la kujishauri biga chini jomba.

Pili, alikuwa haridhiki na shoo zako, hata ulivyokuwa ukiishi nae na hata kwenda kumuona kila mwez, ulikuwa humkaz akafika kilele. Hivyo hata mlivokuwa mbali alipata ushawishi kutokana na upwiru + kutest rungu jingine kama ataridhika nalo. Yes aliridhika nalo ndo mana hakuwa tena na hisia juu yako hata ukimkaza.

Tatu, kama na ww ulikuwa na michepuko yako, na bado uyo mke yupo moyoni mwako, jifanye kipofu maisha yaendelee. Ila piga shoo heavy jomba.

Pole sana kwa lililokukuta jomba, ni mapito kama mapito mengine ya maisha.
 
Mkuu, first of all, you may start by consulting the VCT. Anza kwa ku-check afya kwanza kama wewe na mkeo mpo HIV+ au HIV-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…