Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaNa wewe ndio unatoa ndogo?
Heshima kwako mkuu umejibu vyemaHapana
Nani alikwambia ataacha?Kama anawez kukir na kukupa heshima endelea for the sake of children, ila hakikisha awe amejikomit kutofanya hvyo tena , akirudia au ukihisi tena pga chin
Ushasema analea watoto wa bodaboda
InategemeaNmekuuliza wewe
Hili sio la kushauliwa bwana humo hamna mke piga chini hiyo ni tabia yake mzeebora nusu shari kuliko shari kamiliNipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
mshamba_hachekwiMkuu mi nataka kujua lengo lako la wewe kufanya hivi..?
maana huyu unaenitag nione komenti zake simjui, si mpenzi wangu kama unavyofikiria! so kwanini unafanya hivi..??
halafu nakushangaa maana unavyofanya si mambo yakiume haya!, ama unamiaka 15 ndugu yetu..?😅
Pole ndugu hata 0765 alikua anatoa!Kwan umalaya ni nn?
Daa,ila ndoa za sikuhizi 🙌Bro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.
Now nimeachana na mke wangu sababu kama hio but I still have no peace in my life, watoto wananisumbua na wanawake wanasumbua pia (ma wakambo) now natamani ningerusisha siku nyuma nisingumchunguza mke wangu nikagundua uchafu wake maana niliishi nao bila kugundua na sikua na shida hii.
Nakupa pole saana Mungu akufanyie wepesi ukiweza kusamehe na kukubali kwamba mkeo ni malaya tu ka wengine ni tiba uishi nae tuu
Siku hizi umekua bonge la Mama kihekima tofauti na kipindi kile una u-feminism ukiongozwa na Kungwi katika hiyo fani Makiwendo.Sawazisha mkuu muanze sawa, na wewe chepuka halafu mrudiane,kila mtu akijua mwenzake anaweza kuchepuka kama yeye, atakua na adabu kidogo na hio ndoa...seriously best option ni kupeana talaka hapo constantly utakuwa unaumiza hisia zako kila mnaposex kuna mawili utakumbuka; jitihada zako zilizoshindwa za kuenjoy nae sex,na pili kitendo cha yeye kulala na mwanaume mwingine kitajirudia kila mnapotaka ku sex. Kubali tu ndoa yako imeingia mdudu mkuu haya mapicha picha/ mawazo ni unhealthy/toxic.
Yaani muda wote huo zaidi ya mwaka ndo wawe wametommbana mara mbili tu?Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Mi nilikaa siku, miezi na miaka, kwanini wewe ushindwe?Ndoa ni agano! Ukiona mwanamke ametoka nje ya ndoa kosa ni la mwanaume! Kabla hajahamia arusha aliwahi kumfania??? Maanake mwanamke amechoka kuvumilia kikubwa ni kumsamehe alafu arudi naye lindi! Hivyi nawezaje kumwacha mke wangu mbali kiasi hicho! Mimi siwezi napenda bila kumbatia mke wangu sipati usingizi! Kosa ni la mwanaume! Amsamehe maisha yaendelee! Yeye mwenyewe yamkini mchepukaji mzuri tu! Wewe utakaa miezi miwili bila kuchepuka wanaume hapana !
Enhee swali zuri😀Wewe huna mchepuko?
Mkuu, first of all, you may start by consulting the VCT. Anza kwa ku-check afya kwanza kama wewe na mkeo mpo HIV+ au HIV-Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
....kosa lilianzia hapa mkuu. Kwani huko Lindi hakuna shule?? Vp mikoa ya jirani na Lindi??tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha