Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Hata akukute kitandani unakataa unasema ilikuwa haijaingia ilikuwa mapajani tu
Au unamsingizia shetani tu “Alikuwa ananibaka” bana wee 😹😹

Huyo mwanamke kaniuzi kweli, unakubalije kijinga hivyo?
 
Mkuu hakuna mwanamke unayeweza kumuacha bila kumdinya kwa miezi 2 ukategemea asidinywe na mijamaa? Msamehe bure. Mbona hata wewe unadinya nje?Wake zetu wanadinywa sana ni vile tu hatujui mkuu. Lakini nasi pia mbona tunadinya nje sana tu? Sote tusanegeane bure.
 
Braza achana nae
 
Adhabu pekee kwa mwanamke msaliti wa mapenzi ni KUMUACHA. Lea watoto vyovyote vile uwezavyo lakini achana na huyo mwanamke. Ukikaza shingo kujifanya kusamehe, kituo kinachofuata ni huyo mwanamke KUKUUA.
 
Pole sana ndugu! Kwa vile anatamani umsamehe, msamehe. Hata waliotangazwa watakatifu ukisoma habari za maisha yao kuna ups and downs. Kukosa uaminifu kwenye ndoa huwa naona kwangu ni "dhambi kubwa sana". Lakini kila mwanandoa ana udhaifu wake. Nikisikia mtu kasamehe huwa inanitia moyo na mimi kwamba nikikosewa niweze kusamehe, kama ambavyo na mimi nikikosea napenda nisamehewe. Usiposamehe itakuumiza sana, na itakuvuruga kuliko maelezo. Lakini ukisamehe utapata amani tena moyoni mwako. Kwenye maisha ya ndoa tunapitia mambo mengi sana - tunakwazana,na wakati mwingine tunasababisha mke/mume afanye kosa, wakati mwingine hata bila kujua. Shida ambayo, hata hivyo, inaweza kutokea (lakini si lazima iwe hivyo) ni pale ambapo kama moyo wake au hisia zake kimapenzi zimeshaegemea kwa huyo Frank. Ikitokea hivyo itachukua muda kuacha naye maana kila utakapokuwa unatoka akijisikia tu na yeye apate atakwenda au atamwita Frank aje. Huu ndio mtihani. Lakini kama kaacha kabisa, then hakuna shida. Kama ameecha kila akimwona Frank anaweza kuwa anamchukia kwamba amemwingiza kwenye mgogoro. Utakuwa na bahati kama iko hivi. Otherwise, sameheaneni na muendelee na maisha yenu kama kawaida muwalee watoto mliojaliwa kuwa nao.
 
Adhabu pekee kwa mwanamke msaliti wa mapenzi ni KUMUACHA. Lea watoto vyovyote vile uwezavyo lakini achana na huyo mwanamke. Ukikaza shingo kujifanya kusamehe, kituo kinachofuata ni huyo mwanamke KUKUUA.
Na wewe ukichepuka je ungependa mkeo akuache au unasema hivyo Kwa sababu wewe hujawshi kuchepuka au hata kumgusa mwanamke mwingine matakoni au kwenye matiti? Wanaume wengi wanachepuka, lakini wake zao wakichepuka nao wanaonekana as if hawajawahi kufanya hivyo. Bure kabisa!
 
Heri lawama kuliko fedheha. Hilo alilolifanya mke wako linakufedhehesha sana.

Sisi wengine tunaomba yasitukute hayo.
 
Yaani mkeo kamkatia kiuno mwanaume mwingine ndani kwako????

Hakuna dharau kubwa kwa mwanaume yeyote Duniani kama hiyo.
 
Kwa afya ya moyo wako .. Anaona ni bora mlee watoto , achana naye fanya maisha yako . Utaonoa mengi sana
 
Kosa ni kutompa muda ila sikulaumu mwanamke akimvulia nguo mwanaume mwingine jua mapenz yameisha labda ulee watoto ww anzisha mahusiano mapya utasahau tu
 
Muhimu kutunza familia...ukifuatilia mwanamke utapotea kamwe huwezi mchunga,,,akiamua atajichunga mwenyewe....ukiacha ukaenda kuoa mwingine ni taabu kwa watoto na huko kwingine mambo ni yale yalee...so ziba masikio na macho.....endelea na maisha.....Mimi nina wake rasmi na wasio rasmi..na kiuhakika najua kabisaa nagongewa na kuna mwingine hata ndogo wanamla...lakini nifanyeje????....sina muda nae.....na kuniheshimu ananiheshimu kama ni kinafiki hiyo ni shida yake....
 
Kosa ni kutompa muda ila sikulaumu mwanamke akimvulia nguo mwanaume mwingine jua mapenz yameisha labda ulee watoto ww anzisha mahusiano mapya utasahau tu
Aendelee kulea watoto na mama yao pia....kuanzisha mahusianao mengine sio dawa...labda aongeze mke mwingine lakini huyu asimuache...awe anamla ndogo vilevile,,,kubabake,,,si wahuni wameshamkata utepe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…