Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Au unamsingizia shetani tu “Alikuwa ananibaka” bana wee 😹😹Hata akukute kitandani unakataa unasema ilikuwa haijaingia ilikuwa mapajani tu
Huyo mwanamke kaniuzi kweli, unakubalije kijinga hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au unamsingizia shetani tu “Alikuwa ananibaka” bana wee 😹😹Hata akukute kitandani unakataa unasema ilikuwa haijaingia ilikuwa mapajani tu
Amejiingiza mwenyewe kwenye mfumo chief!Mtafanya mwenzenu afanye mauaji 😹
Haujapewa kipondo wewe! Mbona utasema yote!Hata akukute kitandani unakataa unasema ilikuwa haijaingia ilikuwa mapajani tu
Mambo vipi shem?Sis Joannah njoo umuone mahi wako huku 😹
Mkuu hakuna mwanamke unayeweza kumuacha bila kumdinya kwa miezi 2 ukategemea asidinywe na mijamaa? Msamehe bure. Mbona hata wewe unadinya nje?Wake zetu wanadinywa sana ni vile tu hatujui mkuu. Lakini nasi pia mbona tunadinya nje sana tu? Sote tusanegeane bure.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Poa shem lake, uko pouwa?Mambo vipi shem?
Never everHaujapewa kipondo wewe! Mbona utasema yote!
Braza achana naeNipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Pole sana ndugu! Kwa vile anatamani umsamehe, msamehe. Hata waliotangazwa watakatifu ukisoma habari za maisha yao kuna ups and downs. Kukosa uaminifu kwenye ndoa huwa naona kwangu ni "dhambi kubwa sana". Lakini kila mwanandoa ana udhaifu wake. Nikisikia mtu kasamehe huwa inanitia moyo na mimi kwamba nikikosewa niweze kusamehe, kama ambavyo na mimi nikikosea napenda nisamehewe. Usiposamehe itakuumiza sana, na itakuvuruga kuliko maelezo. Lakini ukisamehe utapata amani tena moyoni mwako. Kwenye maisha ya ndoa tunapitia mambo mengi sana - tunakwazana,na wakati mwingine tunasababisha mke/mume afanye kosa, wakati mwingine hata bila kujua. Shida ambayo, hata hivyo, inaweza kutokea (lakini si lazima iwe hivyo) ni pale ambapo kama moyo wake au hisia zake kimapenzi zimeshaegemea kwa huyo Frank. Ikitokea hivyo itachukua muda kuacha naye maana kila utakapokuwa unatoka akijisikia tu na yeye apate atakwenda au atamwita Frank aje. Huu ndio mtihani. Lakini kama kaacha kabisa, then hakuna shida. Kama ameecha kila akimwona Frank anaweza kuwa anamchukia kwamba amemwingiza kwenye mgogoro. Utakuwa na bahati kama iko hivi. Otherwise, sameheaneni na muendelee na maisha yenu kama kawaida muwalee watoto mliojaliwa kuwa nao.Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Na wewe ukichepuka je ungependa mkeo akuache au unasema hivyo Kwa sababu wewe hujawshi kuchepuka au hata kumgusa mwanamke mwingine matakoni au kwenye matiti? Wanaume wengi wanachepuka, lakini wake zao wakichepuka nao wanaonekana as if hawajawahi kufanya hivyo. Bure kabisa!Adhabu pekee kwa mwanamke msaliti wa mapenzi ni KUMUACHA. Lea watoto vyovyote vile uwezavyo lakini achana na huyo mwanamke. Ukikaza shingo kujifanya kusamehe, kituo kinachofuata ni huyo mwanamke KUKUUA.
Yaani mkeo kamkatia kiuno mwanaume mwingine ndani kwako????Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Sawa hongera sanaKwa story nilizosoma na nilicho shuhudia wala hata siku izi haitishi sana wanawake kuchepuka uzuri nazidi kugain experience kabla sijajitumbukiza kwenye mapenzi 😊😊
Muhimu kutunza familia...ukifuatilia mwanamke utapotea kamwe huwezi mchunga,,,akiamua atajichunga mwenyewe....ukiacha ukaenda kuoa mwingine ni taabu kwa watoto na huko kwingine mambo ni yale yalee...so ziba masikio na macho.....endelea na maisha.....Mimi nina wake rasmi na wasio rasmi..na kiuhakika najua kabisaa nagongewa na kuna mwingine hata ndogo wanamla...lakini nifanyeje????....sina muda nae.....na kuniheshimu ananiheshimu kama ni kinafiki hiyo ni shida yake....Demi unasikia
Aendelee kulea watoto na mama yao pia....kuanzisha mahusianao mengine sio dawa...labda aongeze mke mwingine lakini huyu asimuache...awe anamla ndogo vilevile,,,kubabake,,,si wahuni wameshamkata utepe?Kosa ni kutompa muda ila sikulaumu mwanamke akimvulia nguo mwanaume mwingine jua mapenz yameisha labda ulee watoto ww anzisha mahusiano mapya utasahau tu
😘😘Sawa hongera sana