Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
 
msamehe ili nawe usamehewe
 
, na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Pole saana mkuu, ingkuwa ni mimi nicngkuwa na amani ya kuish na huyo mwanamke. Nlisalitiw alilal na dereva wa gari coaster, nliumia sana na kilichoniumiz zaid kila nlipoona gari aina ya coaster nlikumbka hili tukio.
Huyo wa kwako ameliwa seblen cdhan kama ningkuwa na aman kukaa hta hapo seblen kila wakat ningewaz tukio ningejsemea "inamaan alishenywetwa apa"
POLE MKUU
 
Huo usawa haupo, รฑdo maana mean anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja. Mwanamke hairuhusiwi.
 
๐Ÿค—๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„Tulia bado hata sindano haijaingia vizuri ushaanza milio.

Tuliatulia wewe limekukuta jambo ambalo kwa kutokujua ndo ushaanza kujichimbia kaburi saivi upo futi moja kuelekea chini. Taratibu tu futi sita hizi hapa.

Huna hela na bado unaoa, unaoa na bado kwa UJINGA wako unakaa mbali na mwanamke,DEREVA HIACE lazima ukusaidie bado yule dereva toyo TULIA TULI NESI BADO ANACHANGANYA DAWA๐Ÿค—

Hivi ukiulizwa ulazima wa mke kurudi huko Arusha ni upi utajibu nini???

Ushauri wa harakaharaka ni kuwa wewe tulia wakusaidie maana hujui majukumu yako na hukujua kwanini umeoa!!!!

Hamjifunzi kwa waliokosea, mwanamke tangu aumbwe hajawahi kuwa na jema, mwanamke ni kiumbe kibinafsi sana๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ wewe unataka ushujaa unaona aibu unazopata sasa.

kuna wenzako wamesomesha mwanamke na bado atagawa utamu kwa wasomi wenzake kisa amesaidiwa madesa,wamefungulia mwanamke biashara mwanamke atatawanya mali atahonga vivulana, wamehonga na kutoa kila kitu katika maisha yao lakini hawa mabwege wote walisahau mwanamke ni kama PAKA, paka hana uaminifu kwa yoyote, yeye atamfata na kumpenda atakaye bila kujalisha sababu inamashiko au laa.

Wewe unaendeleza kujaza behela la mafala waliofeli maisha kisa kutokuwa na mipango mizuri ya maisha na kujua kanuni za kimaisha.

Jinyonge ikiwezekana,kwasababu mpaka hapo ulipofika huna uwezo wa kusurvive that catastrophy๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ๐Ÿ‘‰UMESHTUKIA UNACHITIWA๐Ÿ‘‰UNAFATILIA KUJUA ANAYEKUMEGEA UKABEMBELEZA UKAAMBIWA NI MARA MOJA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚UKABEMBELEZA TENA UKAAMBIWA NI MARA MBILI๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‰ UNAGUTS ZA KUMFATA MUME MWENZA NA KUMHOJI๐Ÿ‘‰ILA UNAKOSA GUTS ZA KUFANYA MAAMUZI๐Ÿ‘‰WEWE NI KILAZA HUKUPASWA KUOA๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

#Kataa ndoa 3-0 Wasionaaakili.

๐ŸšจNdoa ni CHESS GAME ukiliwa kubali hakuna namna, Anza game upya!!!
 
HUKUJUA TATIZO, NA KABLA YA KUTATUA TATIZO UKAONGEZA TATIZO.,,,VUNA ULICHOPANDA.

KATAA NDOA 3-0 AKINA BWEGE MTOZENI

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!!
 
Keshamwambia huyo bodaboda wa daladala kwamba mmeachana mnalea watoto tuu, sasa unataka ushauri gani tena?
na bado haoni kuwa yeye ni stranger tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

kama mtu haoni ๐Ÿšฉ๐Ÿšฉ๐Ÿšฉ๐Ÿšฉ na bado anataka ashauriwe, wote wanaohangaika kumshauri huyu kipofu wanapoteza muda.

Asioona haambiwi tazama!!!

#kataa ndoa kwa afya yako ya akili na hisia!!!
 
HUKUJUA TATIZO, NA KABLA YA KUTATUA TATIZO UKAONGEZA TATIZO.,,,VUNA ULICHOPANDA.

KATAA NDOA 3-0 AKINA BWEGE MTOZENI

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!!
Mwanaume kaumbiwa ujasiri wa kukabiliana na changamoto kukataa ndoa ni Ushoga... Soon nakualika kwenye ndoa yangu ya pili ambayo haitavunjika tenaaaaa
 
Money is not everything.....jamaa kampa kila kitu pamoja na Mtaji na kila miezi miwili anasafiri lakini wapi
Mwanamke anataka MTI NYAMA tu kutoka kwa mwanaume wewe usiangaike na vingine toa dozi,,,,mchoshe huyo kiumbe, mchakaze kiasi kwamba akiwa analala anakiota akiwa anatembea huko mitaani anakuona, akiwa amekaa anakuona kwenye akili yake mda wote.

Tatizo mkioa mnageuka waMISSIONARY, acha boda boda wawape wake zenu fantacies zote ambazo nyie mnajifanya mpo busy hamuwezi kuwatimizia.

#kataa ndoa, ndoa ni biashara isiyo na faida kwa mwanaume!!!
 
Mwanaume kaumbiwa ujasiri wa kukabiliana na changamoto kukataa ndoa ni Ushoga... Soon nakualika kwenye ndoa yangu ya pili ambayo haitavunjika tenaaaaa
Ukioa uwe na akili,ukioa uwe na kifua,ukioa uwe na hela, ukioa uwe na uwezo wa kutembeza moto 24/7 bila hivyo utakuja hapa na kilio.Na tutakubagaza ili upate hasira vizuri ukajinyonge utupunguzie wajinga hapa duniani.

Umelishwa propaganda kuwa kujipa majukumu usiyoyaweza ndo uanaume. Mtakufa mapema na bado mkifa wake zenu watapigwa miti kwenye vitanda vyenu.

The Game of Life is too short, play smart!!!
 
Dah....Yaani Shahawa kammwagia kwenye "K" na siajabu nyingine kamwaga kwenye kochi kwa makusudi, ili aache kumbukumbu kama alipita hapo. Na unajua shahawa zikiwa "conc." huwa hazitoki, labda jamaa abadilishe vitambaa vya kochi.
 
Mwanaume kaumbiwa ujasiri wa kukabiliana na changamoto kukataa ndoa ni Ushoga... Soon nakualika kwenye ndoa yangu ya pili ambayo haitavunjika tenaaaaa
Umefanyia kazi mapungufu ya awali mpaka umeamua kuoa tena???? na unajitapa kabisa haitavunjika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tunakusubiri hapa,

MWANAMKE NI MWANAKE TU!!! awe msomi awe kahaba awe na dini awe sijui mzungu awe msomali usiposimamia uanaume UTACHAPIWA TU!!!!

Hongera kwa kuwa na moyo mgumu wa kishujaa wa kuweza kuvumilia kuchapiwa๐Ÿค
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ