Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHuyo malaya ana dharau sana. Fukuza hapo atakuletea magonjwa bure
msamehe ili nawe usameheweNipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho
Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.
Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.
Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.
Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.
Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja
Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto
Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..
Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
wewe huwa husaliti?Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Usimsamehe msaliti
Pole saana mkuu, ingkuwa ni mimi nicngkuwa na amani ya kuish na huyo mwanamke. Nlisalitiw alilal na dereva wa gari coaster, nliumia sana na kilichoniumiz zaid kila nlipoona gari aina ya coaster nlikumbka hili tukio., na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..
EeehNlisalitiw alilal na dereva wa gari coaster,
Huo usawa haupo, ñdo maana mean anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja. Mwanamke hairuhusiwi.Mkuu hakuna mwanamke unayeweza kumuacha bila kumdinya kwa miezi 2 ukategemea asidinywe na mijamaa? Msamehe bure. Mbona hata wewe unadinya nje?Wake zetu wanadinywa sana ni vile tu hatujui mkuu. Lakini nasi pia mbona tunadinya nje sana tu? Sote tusanegeane bure.
HUKUJUA TATIZO, NA KABLA YA KUTATUA TATIZO UKAONGEZA TATIZO.,,,VUNA ULICHOPANDA.Bro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.
Now nimeachana na mke wangu sababu kama hio but I still have no peace in my life, watoto wananisumbua na wanawake wanasumbua pia (ma wakambo) now natamani ningerusisha siku nyuma nisingumchunguza mke wangu nikagundua uchafu wake maana niliishi nao bila kugundua na sikua na shida hii.
Nakupa pole saana Mungu akufanyie wepesi ukiweza kusamehe na kukubali kwamba mkeo ni malaya tu ka wengine ni tiba uishi nae tuu
na bado haoni kuwa yeye ni stranger tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Keshamwambia huyo bodaboda wa daladala kwamba mmeachana mnalea watoto tuu, sasa unataka ushauri gani tena?
Mwanaume kaumbiwa ujasiri wa kukabiliana na changamoto kukataa ndoa ni Ushoga... Soon nakualika kwenye ndoa yangu ya pili ambayo haitavunjika tenaaaaaHUKUJUA TATIZO, NA KABLA YA KUTATUA TATIZO UKAONGEZA TATIZO.,,,VUNA ULICHOPANDA.
KATAA NDOA 3-0 AKINA BWEGE MTOZENI
😁😁😁😁😁😁😁
#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!!
Wanaume tuko wachache Mkuu........sidhani kama tunafika hata 10% ya wa-kiume wote....Na wewe unajiita mwanaume? Yaani umepigiwa mpaka ndani kwako halafu unakuja kuomba ushauri? Kazi sana.
Mwanamke anataka MTI NYAMA tu kutoka kwa mwanaume wewe usiangaike na vingine toa dozi,,,,mchoshe huyo kiumbe, mchakaze kiasi kwamba akiwa analala anakiota akiwa anatembea huko mitaani anakuona, akiwa amekaa anakuona kwenye akili yake mda wote.Money is not everything.....jamaa kampa kila kitu pamoja na Mtaji na kila miezi miwili anasafiri lakini wapi
Ukioa uwe na akili,ukioa uwe na kifua,ukioa uwe na hela, ukioa uwe na uwezo wa kutembeza moto 24/7 bila hivyo utakuja hapa na kilio.Na tutakubagaza ili upate hasira vizuri ukajinyonge utupunguzie wajinga hapa duniani.Mwanaume kaumbiwa ujasiri wa kukabiliana na changamoto kukataa ndoa ni Ushoga... Soon nakualika kwenye ndoa yangu ya pili ambayo haitavunjika tenaaaaa
Dah....Yaani Shahawa kammwagia kwenye "K" na siajabu nyingine kamwaga kwenye kochi kwa makusudi, ili aache kumbukumbu kama alipita hapo. Na unajua shahawa zikiwa "conc." huwa hazitoki, labda jamaa abadilishe vitambaa vya kochi.Kupigwa miti nyumbani kwako, ni dharau ya kiwango juu ambacho kusamehe ni mgumu, na shida hata ukimsamehe, ukikumbuka mwamba alimviringisha kwenye kochi unalokalia lazima utakuwa unapatwa na hasira. Yani unapokaa kuna mwamba alimwaga shahawa.
Sijui, lakini kuliko kuishi na maumivu, hasira za mara kwa mara kila ukimuona au akifanya kosa dogo linakuwa kubwa, bora muachane tu.
Umefanyia kazi mapungufu ya awali mpaka umeamua kuoa tena???? na unajitapa kabisa haitavunjika😂😂😂Mwanaume kaumbiwa ujasiri wa kukabiliana na changamoto kukataa ndoa ni Ushoga... Soon nakualika kwenye ndoa yangu ya pili ambayo haitavunjika tenaaaaa