Kwa wanawake wa kisasa hawa ma braza ni afadhali tu ukomae na mkeo maana kama wanavyosema wenyewe "it rains
ALMOST everywhere". Maana yake ni kwamba uwezekano wa kuchapiwa ni almost 99.99%!
View attachment 3176736
Kwa huyo mume mwenzio mwendesha Hiace, baada ya miezi mitatu nenda ukapime UKIMWI maana kuna possibility kubwa sana kuwa jamaa hakutumia kondomu; na hao jamaa ni wahuni balaa! Ukikuta hakuna maambukizi shukuru Mungu ππΏ
Na kama utakuwa umepoteza trust mazima nenda pia ukawapime hao watoto ili ujue kama ni wako kweli...
View attachment 3176740
Na mwisho kabisa: Je, wewe huna michepuko huko kazini kwako? Kama unayo jichunguze na ujipeleleze mwenyewe na Mungu wako. Naamini Atakupa jibu sahihi kuhusu nini cha kufanya. Ila kumbuka kwamba mkeo wa ndoa katombewa sebuleni na mwendesha Hiace hapo hapo nyumbani kwako. Likumbuke hilo unapofikiria la kufanya.
Pole sana na Mungu Akusaidie ππΏ
Angalizo: Mleta mada ni mtu wa kamba sana! πππ
Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo ndoto yangu ya kila siku aiseee kwa sababu najua nikimuoa yule mimi umasikini bye bye na hakika...
Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye alikuwa hajawahi kuoa wala kuzaa, kwahiyo katika muda wote huo wakati nipo kwenye ndoa nilikuwa...
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia. Kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja lakini kwa mkataba. Nilimwambia niko kazini...