Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Ukioa uwe na akili,ukioa uwe na kifua,ukioa uwe na hela, ukioa uwe na uwezo wa kutembeza moto 24/7 bila hivyo utakuja hapa na kilio.Na tutakubagaza ili upate hasira vizuri ukajinyonge utupunguzie wajinga hapa duniani.

Umelishwa propaganda kuwa kujipa majukumu usiyoyaweza ndo uanaume. Mtakufa mapema na bado mkifa wake zenu watapigwa miti kwenye vitanda vyenu.

The Game of Life is too short, play smart!!!
Nipe warranty yako ya kutokupata matatizo kabisa na ya kutokufa.

Pia mtaani kwako mabachela ndo wanaongoza utajiri kuliko wenye ndoa?
 
Umefanyia kazi mapungufu ya awali mpaka umeamua kuoa tena???? na unajitapa kabisa haitavunjika😂😂😂

Tunakusubiri hapa,

MWANAMKE NI MWANAKE TU!!! awe msomi awe kahaba awe na dini awe sijui mzungu awe msomali usiposimamia uanaume UTACHAPIWA TU!!!!

Hongera kwa kuwa na moyo mgumu wa kishujaa wa kuweza kuvumilia kuchapiwa🤝
Kiongozi kwani ulizaliwa nje ya ndoa? Au mama ako alimsaliti baba ake?

Binafsi yote matokeo ya maisha hivo siogopi nimejipanga kukabiliana nayo
 
Bro nakuelewa unachokipitia kwakua pia ni muhanga... Laiti ungeniahirikisha kabla ya kugundua ningekwambia usimchunguze ili ubaki na nusu amani.

Now nimeachana na mke wangu sababu kama hio but I still have no peace in my life, watoto wananisumbua na wanawake wanasumbua pia (ma wakambo) now natamani ningerusisha siku nyuma nisingumchunguza mke wangu nikagundua uchafu wake maana niliishi nao bila kugundua na sikua na shida hii.

Nakupa pole saana Mungu akufanyie wepesi ukiweza kusamehe na kukubali kwamba mkeo ni malaya tu ka wengine ni tiba uishi nae tuu
Yaani mke wako akuambukize Magonjwa ya ngono,ufe ndani ya miaka 8 ijayo,......kwa kisingizio cha amani wakati una nafasi ya kumuacha na ukaishi miaka 60 ijayo?......una uhakika wewe sio FALA?
 
Kataa ndoa wanachukua point tena hapa! Wanawake jamani! Kufuatilia haya mambo ya hawa viumbe ni kujiumiza tu! Hapo ukute wewe unakula kistaarabu sasa li dereva hiace linambinua mpaka miguu inagusa dari! Utumbo nje nje! Uamuzi unao wenyewe maana umejiingiza kwenye mfumo wewe mwenyewe! Hapo umembana amesema mara 2 ukimbana zaidi atasema mara 3 na kuendelea! Hapo mkuu inagongwa kila siku!
Bad enough mwanamke akisha kusaliti Halafu ukamsamehe lazima atagongwa tena na tena cuz anajua kwamba you can't just leave her
 
Mwanamke anataka MTI NYAMA tu kutoka kwa mwanaume wewe usiangaike na vingine toa dozi,,,,mchoshe huyo kiumbe, mchakaze kiasi kwamba akiwa analala anakiota akiwa anatembea huko mitaani anakuona, akiwa amekaa anakuona kwenye akili yake mda wote.

Tatizo mkioa mnageuka waMISSIONARY, acha boda boda wawape wake zenu fantacies zote ambazo nyie mnajifanya mpo busy hamuwezi kuwatimizia.

#kataa ndoa, ndoa ni biashara isiyo na faida kwa mwanaume!!!
Daa hii conclusion sasa
 
Unamsamehe vp mtu aliyegongewa nyumbani kwako,hakufai huyo aondoke chap utakuja kunyongwa na michepuko yake ohooooo
 
Acha na mwanamke msaliti kaka, kwanza inawezekana hawakutumia kinga, atakuja kukuua na ukimwi huyo. Akienda kwa Franc chupi inalowa hata kabla hajaguswa.​
Ndio tutaelewana tuu.....hakuna mwanaume tz demu au mkewe hatombwii 🤣🤣🤣🤣🤣
Ukweli Mchungu huu --- kama hautombwi Leo atatombwa siku yoyote Tu. . sasa tunaoa ili iweje kmmk 🚮🚮
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Mwanamke akicheat hakuna jibu zaidi ni kutengana nae lea watoto basi, ukibisha wewe ni mbwa Tena mbwa koko mgonjwa au kichaa
 
🤗😀😀😀😄😄😄Tulia bado hata sindano haijaingia vizuri ushaanza milio.

Tuliatulia wewe limekukuta jambo ambalo kwa kutokujua ndo ushaanza kujichimbia kaburi saivi upo futi moja kuelekea chini. Taratibu tu futi sita hizi hapa.

Huna hela na bado unaoa, unaoa na bado kwa UJINGA wako unakaa mbali na mwanamke,DEREVA HIACE lazima ukusaidie bado yule dereva toyo TULIA TULI NESI BADO ANACHANGANYA DAWA🤗

Hivi ukiulizwa ulazima wa mke kurudi huko Arusha ni upi utajibu nini???

Ushauri wa harakaharaka ni kuwa wewe tulia wakusaidie maana hujui majukumu yako na hukujua kwanini umeoa!!!!

Hamjifunzi kwa waliokosea, mwanamke tangu aumbwe hajawahi kuwa na jema, mwanamke ni kiumbe kibinafsi sana😄😄😄 wewe unataka ushujaa unaona aibu unazopata sasa.

kuna wenzako wamesomesha mwanamke na bado atagawa utamu kwa wasomi wenzake kisa amesaidiwa madesa,wamefungulia mwanamke biashara mwanamke atatawanya mali atahonga vivulana, wamehonga na kutoa kila kitu katika maisha yao lakini hawa mabwege wote walisahau mwanamke ni kama PAKA, paka hana uaminifu kwa yoyote, yeye atamfata na kumpenda atakaye bila kujalisha sababu inamashiko au laa.

Wewe unaendeleza kujaza behela la mafala waliofeli maisha kisa kutokuwa na mipango mizuri ya maisha na kujua kanuni za kimaisha.

Jinyonge ikiwezekana,kwasababu mpaka hapo ulipofika huna uwezo wa kusurvive that catastrophy😄😄😄 👉UMESHTUKIA UNACHITIWA👉UNAFATILIA KUJUA ANAYEKUMEGEA UKABEMBELEZA UKAAMBIWA NI MARA MOJA😂😂😂UKABEMBELEZA TENA UKAAMBIWA NI MARA MBILI🤣🤣🤣🤣🤣👉 UNAGUTS ZA KUMFATA MUME MWENZA NA KUMHOJI👉ILA UNAKOSA GUTS ZA KUFANYA MAAMUZI👉WEWE NI KILAZA HUKUPASWA KUOA🙏🙏🙏🙏

#Kataa ndoa 3-0 Wasionaaakili.

🚨Ndoa ni CHESS GAME ukiliwa kubali hakuna namna, Anza game upya!!!
Kataaa ndoa what wasio na akili what!!! 😃😃🙏🙏
 
Back
Top Bottom