Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

🤣🤣🤣🤣We kijamaa kichawi kweli...
Sasa ka umelelewa na wazazi wote hii akili ya kataa ndoa umeitoa wap?? Au umesomea Meri Meri mabasi ya njano uzungi nini dad zisi mamie zat???
kataa ndoa ni FALSAFA ya kuwaamsha wanaume ambao wanashindwa kufanya maisha yao kwa kigezo cha NDOA.

KATAA NDOA inashauri mambo amabayo wanaoyafata hawaumizwi na mambo ya mapenzi.kataa ndoa inaruhusu uoe pindi utakapokuwa UMESECURE UCHUMI WAKO,UMEWEKA MAMBO YAKO POA.Hivyo hii movement ni wake up call kwa wanaume wapenda mafanikio na wasiotaka kupoteza muda kwenye sarakasi z mapenzi.

KATAA NDOA INASHAURI MEMA SIO WEWE UNAVYOFIKIRI

WANACHAMA WA KATAA NDOA ACTIVE;
1.ELON MASK
2.50%
3.ACHIRAFU
4.KOMASAVAA
5.DRONE DRAKE
6.DIAMOND PLATNUMS
7.CR 7
8.NK.......

#USIOE KISA JAMII AU WAZAZI WAMEKULAZIMISHA UOE, OA UKIWA UMEPATA SABABU NA UKAWA NA UWEZO WAKUTIMIZA MAJUKUMU( KUGEGEDA 24/7)

#KATAA NDOA KAMA HUJAJIPATA MAANA, UTACHAPIWA MPAKA NA DEREVA HIACE😂😂😂😂
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Yaani watu tunàshauri weeee, umekaa kimya unatuona mafala siyo?
 
kataa ndoa ni FALSAFA ya kuwaamsha wanaume ambao wanashindwa kufanya maisha yao kwa kigezo cha NDOA.

KATAA NDOA inashauri mambo amabayo wanaoyafata hawaumizwi na mambo ya mapenzi.kataa ndoa inaruhusu uoe pindi utakapokuwa UMESECURE UCHUMI WAKO,UMEWEKA MAMBO YAKO POA.Hivyo hii movement ni wake up call kwa wanaume wapenda mafanikio na wasiotaka kupoteza muda kwenye sarakasi z mapenzi.

KATAA NDOA INASHAURI MEMA SIO WEWE UNAVYOFIKIRI

WANACHAMA WA KATAA NDOA ACTIVE;
1.ELON MASK
2.50%
3.ACHIRAFU
4.KOMASAVAA
5.DRONE DRAKE
6.DIAMOND PLATNUMS
7.CR 7
8.NK.......
Kwenye iyo list akiwepo baba ako nami na join mzee
 
Ndio uone kuwa kataa ndoa ni magenius
Nakubaliana nao sijawahi kuwa pinga but Wajua katika falsafa za maisha watu Tupo ktk magroup tofauti tofauti ki- spiritual kuna wengine wakioa ndio wanazidi kupata neema ya maisha na kuna wengine wakioa ndio wanapata anguko la maisha so hili Jambo ni zito tofauti na tunavyo fikiria
 
ushauri wangu ,tafadhari acha kufatilia simu yamkeo, yakwako anafatilia wanandoa tunafeli wapi ,miezi miwili hajakorogwa kweli.... Hivi sisi wanajeshi wanaokuwaga misheni miaka 7
 
Nakubaliana nao sijawahi kuwa pinga but Wajua katika falsafa za maisha watu Tupo ktk magroup tofauti tofauti ki- spiritual kuna wengine wakioa ndio wanazidi kupata neema ya maisha na kuna wengine wakioa ndio wanapata anguko la maisha so hili Jambo ni zito tofauti na tunavyo fikiria
Mmeanza na mambo yenu tena ya spiritual🤣🤣🤣
Wewe bwana umepewa uwezo wakutambua mema na mabaya. Use ur brain.
Ukioa kwa kutumia kibamia au de liboloz lako lazima utakuja kutalalamikia hapa.
Ukitumia akili kwenye kuao lazima utasema neema zinakuja tuu.
So choose wisely, kanuni ni ile ile tako sura na titi viwepo
 
Kwenye iyo list akiwepo baba ako nami na join mzee
WEWE ENDELEA KUOA ILI UCHAPIWE NA KUNYOOSHEWA KIDOLE HAPO MTAANI KWAKO KILA UKIPITA.

WEWE NI WEAK MAN, AND FOR THE FACT HUKUTAKIWA KUISHI🤗 NI VILE NATURE IMEKUSELECT ILI WENGINE WAPATE KUJIFUNZA KUPITIA WEWE WAZIDI KUWA STRONG NA FALSAFA KAMA KATAA NDOA IENDELEE KUWA HAI💪
 
Mmeanza na mambo yenu tena ya spiritual🤣🤣🤣
Wewe bwana umepewa uwezo wakutambua mema na mabaya. Use ur brain.
Ukioa kwa kutumia kibamia au de liboloz lako lazima utakuja kutalalamikia hapa.
Ukitumia akili kwenye kuao lazima utasema neema zinakuja tuu.
So choose wisely, kanuni ni ile ile tako sura na titi viwepo
Mimi ninaye Ongea hapa mpaka Leo sijaoa na labda itakuwa haunijui Mimi nipo ktk hizo movement za Kataa ndoa hapa jf tangu 2018 huko nawajua vyema wanawake na drama zao and I admit a 💯 percent wengi wao baadhi they're evil tena more than demons

But Hicho nilicho kueleza ni ukweli kabisa maisha Yana mambo mengi Sana

You know nothing John snow 🤣
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Mara nyingi ukiona mwanamke anamtuhumu mume wake kua anamichepuko na anamchunguza sana lihali mwanume hajaonesha dalili yoyote ya kua na michepuko,kuna uwezekano mkubwa huyo mwanamke ndio ana michepuko,wanawake hufanya hivi ili siku akikamatwa ajitetee kua alikua analipiza kisasi
 
Mimi ninaye Ongea hapa mpaka Leo sijaoa na labda itakuwa haunijui Mimi nipo ktk hizo movement za Kataa ndoa hapa jf tangu 2018 huko nawajua vyema wanawake na drama zao and I admit a 💯 percent wengi wao baadhi they're evil tena more than demons

But Hicho nilicho kueleza ni ukweli kabisa maisha Yana mambo mengi Sana

You know nothing John snow 🤣
Sawa wanawake ni evil aubdemons ila mbususu zao tamu so tussasambue mbususu zao.
 
Mmeanza na mambo yenu tena ya spiritual🤣🤣🤣
Wewe bwana umepewa uwezo wakutambua mema na mabaya. Use ur brain.
Ukioa kwa kutumia kibamia au de liboloz lako lazima utakuja kutalalamikia hapa.
Ukitumia akili kwenye kuao lazima utasema neema zinakuja tuu.
So choose wisely, kanuni ni ile ile tako sura na titi viwepo
Hii falsafa za wavivu kuwa ukioa ndo unafunguliwa ridhiki🤣🤣🤣🤣

Inapelekea WAJINGA wengi kuunga tela bila kujua humo kwenye ndoa kuna kitu gani.

Yaani kuna mijitu hata kutumia akili ya kawaida haiwezi. Hivi mtu unashindwa tu kujiuliza maswali kadhaa tu kama ikiwa wewe mwenyew huna mbele wala nyuma unaoa ili ridhiki gani ifunguke🤣🤣🤣🤣🤣

Ni mjinga pekee asiye na uwezo wa kujihudumia ataoa ili ridhiki ifunguke.

#kama mtu huna mali, nguvu na jeuri yako amishia kiunoni🤗
 
Hii falsafa za wavivu kuwa ukioa ndo unafunguliwa ridhiki🤣🤣🤣🤣

Inapelekea WAJINGA wengi kuunga tela bila kujua humo kwenye ndoa kuna kitu gani.

Yaani kuna mijitu hata kutumia akili ya kawaida yaiwezi. Hivi mtu unashindwa tu kujiuliza maswali kadhaa tu kama ikiwa wewe mwenyew huna mbele wala nyuma unaoa ili ridhiki gani ifunguke🤣🤣🤣🤣🤣

Ni mjinga pekee asiye na uwezo wa kujihudumia ataoa ili ridhiki ifunguke.

#kama mtu huna mali, nguvu na jeuri yako amishika kiunoni🤗
Watz sisi ninwavivu wakufikiri ndio maana tunajazana makanisani na kwa sangomas
 
WEWE ENDELEA KUOA ILI UCHAPIWE NA KUNYOOSHEWA KIDOLE HAPO MTAANI KWAKO KILA UKIPITA.

WEWE NI WEAK MAN, AND FOR THE FACT HUKUTAKIWA KUISHI🤗 NI VILE NATURE IMEKUSELECT ILI WENGINE WAPATE KUJIFUNZA KUPITIA WEWE WAZIDI KUWA STRONG NA FALSAFA KAMA KATAA NDOA IENDELEE KUWA HAI💪
Wewe jifurahishe pengine ungejua namna nagusa maisha ya watu ungenisalimia kwakuchuchumaa.....

Ukweli ni kwamba mi nakataa ushoga
 
Back
Top Bottom