Huu ugonjwa unachukua muda gani kupona mbona ni wiki ya tatu sasa bado najisikia dhaifu ingawa sio kama ilivyokuwa wakati wa ugonjwa?na pia naulizia dawa gani nzuri kwa kuondoa kabisa tatizo la UTI maana nahisi nayo inachangia sana mimi kuwa dhaifu
Naomba msaada wenu maana sasa naelekea kuacha kazi maana naumwa sana nashindwa kumudu majukumu ya kazi biashara ya duka inasimamiwa na mama yangu ili maisha yaende ni mzee sana kila nikiangalia naumia sana ila sina namna kesho naforce kwenda kwenye biashara sina namna ila bado sijawa imara hadi nahofu nisije kulipua mengine asanteni
Nataka kujua dawa specific za kutibu dengueMkuu dengu zingatia sana kunywa maji inategemea na immunity yako ila wiki wiki mbili inapotea
Kuhusu uti nashauri ni vema ukafanye sensitivity test itakusaidia kujua ni mdudud gani na anatibika kwa dawa gani?
NB sensitivitiy inafanywa na hospitali nyingi tu hapa mjini ni wewe kwenda kwa daktari na kumueleza hivo
Ulipatiwa dawa aina Gabi za dengue msaada plzHuu ugonjwa unachukua muda gani kupona mbona ni wiki ya tatu sasa bado najisikia dhaifu ingawa sio kama ilivyokuwa wakati wa ugonjwa?na pia naulizia dawa gani nzuri kwa kuondoa kabisa tatizo la UTI maana nahisi nayo inachangia sana mimi kuwa dhaifu
Naomba msaada wenu maana sasa naelekea kuacha kazi maana naumwa sana nashindwa kumudu majukumu ya kazi biashara ya duka inasimamiwa na mama yangu ili maisha yaende ni mzee sana kila nikiangalia naumia sana ila sina namna kesho naforce kwenda kwenye biashara sina namna ila bado sijawa imara hadi nahofu nisije kulipua mengine asanteni
Huu ugonjwa unachukua muda gani kupona mbona ni wiki ya tatu sasa bado najisikia dhaifu ingawa sio kama ilivyokuwa wakati wa ugonjwa?na pia naulizia dawa gani nzuri kwa kuondoa kabisa tatizo la UTI maana nahisi nayo inachangia sana mimi kuwa dhaifu
Naomba msaada wenu maana sasa naelekea kuacha kazi maana naumwa sana nashindwa kumudu majukumu ya kazi biashara ya duka inasimamiwa na mama yangu ili maisha yaende ni mzee sana kila nikiangalia naumia sana ila sina namna kesho naforce kwenda kwenye biashara sina namna ila bado sijawa imara hadi nahofu nisije kulipua mengine asanteni
Ulipatiwa dawa aina Gabi za dengue msaada plz
Nataka kujua dawa specific za kutibu dengue