t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Kutoboa dpf kunasababisha check engine code na ecu italiweka gari kwenye limp home mode na kusababisha torque reduction by 70% .ni kama tu vile adblue inavyorusha code ikiisha kwenye reserve tank.Wanaanza kutoboa ndo wanafanya DPF delete. Hiyo ya kuiprogram ECU sasa ndo watu wanaringa nayo. Ila nadhani wanafanya tu expensive bila sababu. Labda zotashuka watu wakiwa nazo
Best practise ni kufanya dpf delete then unatoboa au kuliondoa kabisa hilo dubwana. Gjarama za kufanya kwetu ni kubwa kwa sababu mafundi wetu wengi ni vilaza wachache wanaojua ndo hao wanaringa na mibei ya juu