Nimetokea kupenda hili gari lkn bado sijajua raha na karaha zake kwa hapa mjini... kiufupi nataka gari ya kutembelea tu na ikitokea safari za mkoa mara 1 au 2 kwa mwaka...
Spare parts za Mazda zipo nyingi Tu sikuhizi inategemea upo mkoa gani Ila watu wengi wananua Sana Mazda hasa Mazda primacy.
Ni Magari magumu zaidi ya IST na vitz