Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Verisa

Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Verisa

jamesjaco

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
65
Reaction score
34
Nimetokea kupenda hili gari lkn bado sijajua raha na karaha zake kwa hapa mjini... kiufupi nataka gari ya kutembelea tu na ikitokea safari za mkoa mara 1 au 2 kwa mwaka...

Naombeni ushauri wenu na hili gari.


Screenshot_20200710-214418_Chrome.jpg
Screenshot_20200710-214427_Chrome.jpg
 
Spare parts za Mazda zipo nyingi Tu sikuhizi inategemea upo mkoa gani Ila watu wengi wananua Sana Mazda hasa Mazda primacy.
Ni Magari magumu zaidi ya IST na vitz
 
Hii gar kuna jamaa angu anayo..C yake ila rafiki wa jamaa angu ndo ameiweka kwa jamaa baada ya mambo kuwa magumu(kushindwa ku i maintain)

Nimeiendesha sana...kilichonivutia kwa hii gari kwanza ulaji wa mafuta n kawaida sana..very economical

Pili ina space kubwa sana ndan kuliko IST,RUN X na Allex

Kuhusu vipuri sijui..

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa nacho miezi miwili tu nikakauza ni kazuri wese kanatumia kidogo
 
Back
Top Bottom