mtoto anaendeleaje??Usitushirikishe mauaji,amua mwenyeewe na shemeji.Ila mkuu shemeji yuko sharp kwa mgegeedo!!
Kweli mkuu mtoto anaendeleaje namatibbu ya kansamtoto anaendeleaje??
Thank you for your concern!Mtoto anaendelea vizuri saaana ameanza awamu ya kuhudhuria baada ya miezi sita clinic!mtoto anaendeleaje??
sifa zote anastahiki bwana wa viumbe vyote, Allah amjaalie siha njemaThank you for your concern!Mtoto anaendelea vizuri saaana ameanza awamu ya kuhudhuria baada ya miezi sita clinic!
Amiin Inshaallah atujaalie sote sisi,wewe na familia yako na sote tuliomo humu duniani!sifa zote anastahiki bwana wa viumbe vyote, Allah amjaalie siha njema
aamyn, thumma amyynAmiin Inshaallah atujaalie sote sisi,wewe na familia yako na sote tuliomo humu duniani!
Wapendwa habar za jumapili,
Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na yy mwenyew kiafya hayupo sawa.
Tumepanga tuitoe ila hatujapata ushauri wa kitaalamu kuhusu njia sahihi y kulitatua hili tatizo. Naomba anayejua anisaidie maarifa juu ya hilo. Karibuni kwa mawazo