Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Nursing DilemmaWapendwa habar za jumapili,
Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na yy mwenyew kiafya hayupo sawa.
Tumepanga tuitoe ila hatujapata ushauri wa kitaalamu kuhusu njia sahihi y kulitatua hili tatizo. Naomba anayejua anisaidie maarifa juu ya hilo. Karibuni kwa mawazo