Naomba ushauri kuhusu hili la mimba

Nursing Dilemma
 
Tumepanga tuitoe ila hatujapata ushauri wa kitaalamu kuhusu njia sahihi y kulitatua hili tatizo. Naomba anayejua anisaidie maarifa juu ya hilo. Karibuni kwa mawazo
Nendeni kwa daktari wake akawashauri cha kufanya na muanze uzazi wa mpango mara moja. Kama huwezi kuvaa kinga basi itabidi yeye ajikinge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…