Magheahealthcare
Member
- Mar 4, 2022
- 43
- 12
Mkabala na soko la karumempo ilala ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkabala na soko la karumempo ilala ipi
Habari wanajukwaa,
Nina mama yangu ameanza kupata tatizo la macho tangu juzi, tulimpeleka hospital wakasema macho yameanza kuweka mtoto na anapresha ya macho.
Hivyo tumeshauriwa tumnunulie miwani, je kuna yoyote humu ambae ameshawahi kukutana na tatizo hili,na je uliweza kulitibu kwa njia gani? Mama yangu kwa umri yupo 60.
Nawasilisha
Waone Dr. Agarwal wako Morocco hapo ni wataalam sana. Mzee wangu na yeye pia ana ishu hio, sasa sema ya kwake imesababishwa na moyo kutumia nguvu kubwa kupump damu na hvo kupelekea overflow ya damu machoni. Sahivi still anaendelea na matibabu.Habari wanajukwaa,
Nina mama yangu ameanza kupata tatizo la macho tangu juzi, tulimpeleka hospital wakasema macho yameanza kuweka mtoto na anapresha ya macho.
Hivyo tumeshauriwa tumnunulie miwani, je kuna yoyote humu ambae ameshawahi kukutana na tatizo hili,na je uliweza kulitibu kwa njia gani? Mama yangu kwa umri yupo 60.
Nawasilisha
Wamekudanganya miwan haiwez msaidia ukisema pressure ya macho ama glaucoma huwa unapewa dawa za kuishusha ,eye drops pia ukisema mtoto WA jicho maana cataract hapo hua wanafanya operation ndo unapewa miwani ya jua ambayo unaitumia kama miez mitatu hiv sasa hao waliokwambia unahitjk miwan mmmmh tuwaangalie Kwa jicho lapili hata SS wengine. Ni madaktari WA machoHabari wanajukwaa,