Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la macho


Nitafute upate tiba,presha ya macho pamoja na mtoto wa jicho vitaondoka ndan ya siku 14 kama kweli utakuwa sereous
 
Waone Dr. Agarwal wako Morocco hapo ni wataalam sana. Mzee wangu na yeye pia ana ishu hio, sasa sema ya kwake imesababishwa na moyo kutumia nguvu kubwa kupump damu na hvo kupelekea overflow ya damu machoni. Sahivi still anaendelea na matibabu.

Matibabu pale ni expensive sana lakini maana kuna hio sindano anachomwa mara 1 kila mwezi bei yake ni 2.6m.

Kama hamjapata ufumbuzi ni bora muelekee hapo kwa ufumbuzi zaidi maana wana utaalam wa hali ya juu na pia vifaa vikubwa sana vya kufanyia diagnosis
 
Wamekudanganya miwan haiwez msaidia ukisema pressure ya macho ama glaucoma huwa unapewa dawa za kuishusha ,eye drops pia ukisema mtoto WA jicho maana cataract hapo hua wanafanya operation ndo unapewa miwani ya jua ambayo unaitumia kama miez mitatu hiv sasa hao waliokwambia unahitjk miwan mmmmh tuwaangalie Kwa jicho lapili hata SS wengine. Ni madaktari WA macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…