Naomba ushauri kuhusu huyu msichana

miaka 22 bado unanuka mavi ya pampas unamwambia mtu habari za kuwa mke na mume! unasoma japo hicho chuo hujakitaja!!!! tulia mbona mnapenda kukimbia kabla ya kutembea?????
 
Najuta kufungua uzi huu, nakutana vitu vya kitoto kabisa, yaani mtu anasmile na kuona aibu bado huajaelewa alama za nyakati, labda tuanzie kujua umri wako
Halafu unasema unasoma chuo, mnaaibisha elimu ya chuo
 
Unamboa na swaga zako za masomo
 
Subiri waje wanaume wezako wa Dar
 
Kusoma hujui ata picha uone mzgo tyar wako uo kama anachekuchekea daah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushaur wako mzur ila sentns ya mwisho mbavu sina
 
We mtoto kweli au hujawah kutongoza ndio mara ya kwanza??? Kashakubali huyo muite tuu geto acha uboya; au nipe namba zake
 
Huku makazini hawapokei GPA ya chini ya 3.5 pts otherwise anza mipango ya kujiajiri mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…