Naomba ushauri kuhusu kazi ya ufundi cherehani (tailors)

Naomba ushauri kuhusu kazi ya ufundi cherehani (tailors)

D4k

Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
8
Reaction score
6
Habari yenu wakuu!

Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu.

Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and gentle man
 
Habari yenu wakuu!

Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu.

Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and gentle man
Kama ni zile nafasi kwa udhamini wa  KCB, nashauri uombe course UPISHI na USHONAJI.
Hizi kuna siku zitakufaa mahali
 
Habari yenu wakuu!

Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu.

Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and gentle man
Fundi cherehani mzuri Hakosi 30,000 kwa siku hapa mjini na wale wazuri sana wanapiga hadi laki 2 hadi 3.

Ushauri wangu
1. Jifunze Kushona Kawaida uwe Familiar na Cherehani

2. Jifunze kutumia charahani za Umeme, Juki, Brothers za zifananiazo sio kama hizi za kina Butterfly

images (16).jpeg

3. Improve speed Kadri utakavyoweza

Ukiweza kumaster hayo hapo juu Njoo Mjini sehemu kama Kariakoo Kuna Demand kubwa tu ya hao watu. Washona Majeans, Washona Vijora, Mashuka, Mapazia etc.

Kijora 200, Pazia 1000, Shuka 500, ni wewe tu. Mtu mmoja anashona Vijora Mia kadhaa Kwa siku.
 
Hawanaga hela nafundi cherehani
Ufundi wa kutumia cherehani inategemea na uwezo wako wa kudizaini na pia mtaji.
Lakini pia ufundi huu wa kutumia cherehani una makundi mengi sana,kwa mfano kuna majirani zangu fulani hao fani yao ni hii ya kutumia cherehani walikuwa wanashona nguo kisha baadae wakaachana na kushona nguo wakahamia kwenye kushona seat covers za magari aisee majamaa wanapiga hela wanajenga majumba na kununua viwanja kila mwaka.
Kwa hiyo kila fani inalipa inategemea na jinsi unavyojiweka na kuithamini kazi yako plus ubunifu.
 
Hawanaga hela nafundi cherehani
Ufundi wa kutumia cherehani inategemea na uwezo wako wa kudizaini na pia mtaji.
Lakini pia ufundi huu wa kutumia cherehani una makundi mengi sana,kwa mfano kuna majirani zangu fulani hao fani yao ni hii ya kutumia cherehani walikuwa wanashona nguo kisha baadae wakaachana na kushona nguo wakahamia kwenye kushona seat covers za magari aisee majamaa wanapiga hela wanajenga majumba na kununua viwanja kila mwaka
 
Fundi cherehani mzuri Hakosi 30,000 kwa siku hapa mjini na wale wazuri sana wanapiga hadi laki 2 hadi 3.

Ushauri wangu
1. Jifunze Kushona Kawaida uwe Familiar na Cherehani

2. Jifunze kutumia charahani za Umeme, Juki, Brothers za zifananiazo sio kama hizi za kina Butterfly

View attachment 2688303

3. Improve speed Kadri utakavyoweza

Ukiweza kumaster hayo hapo juu Njoo Mjini sehemu kama Kariakoo Kuna Demand kubwa tu ya hao watu. Washona Majeans, Washona Vijora, Mashuka, Mapazia etc.

Kijora 200, Pazia 1000, Shuka 500, ni wewe tu. Mtu mmoja anashona Vijora Mia kadhaa Kwa siku.
Hallo mkuu, Mimi nina ujuzi wa kushona. Naomba niunganishe na mtu anayehtaji fundi wa kushona mapazia/vijota/jeans hapo kariakoo.

Nmekutext inbox msg haziji. Asante.
 
Nambie boss, sijasikia kwa sasa ila nitakushtua mtu akihitaji. Kwa saa moja una uwezo wa kushona pazia ngap?
Kiukweli sjawah kushona mapazia, mm kwny ufundi nlikua nashona suruali za kiume ambapo kwa sasa nimesimama. (niko mbali na eneo nlokua nafanyia kazi)
 
Back
Top Bottom