Wataalamu wa kilimo cha Matunda naomba kujua ni miti ipi ya matunda ambayo hata nikipanda karibu na Fence haitaharibu ukuta kwa maana ya mizizi yake kusambaa sana kwenda kupasua ukuta
Wataalamu wa kilimo cha Matunda naomba kujua ni miti ipi ya matunda ambayo hata nikipanda karibu na Fence haitaharibu ukuta kwa maana ya mizizi yake kusambaa sana kwenda kupasua ukuta
Ushashauri
panda mti wowote wa matunda ila hakikisha unachimba shimo kubwa lifike chini ya msing, na kumwagilia uwe unafanya deep irrigation, unaweka PVC pipe unakuwa unamwagilia maji kwenye hiyo pvc, roots itakwenda chini msingi utakuwa salama