Nyanda O_mbassa
New Member
- Nov 25, 2019
- 2
- 0
Daah mkuu imeniuma sana huyu jamaa, nimesoma hii thread mpaka nikaone bora nikupe pole kwa kupambana kuelekeza wajinga. Huyu jamaa sijui yuko dunia ipi, ni si maskini wa pesa tu, bali kinginecho hakijui, na hajui kama hajui. Ndiyo namna wa Tz tunapenda kuishi, kakuzwa na kikalilishwa mambo yasiyo na maana, sijui hata ana umri gani na anaishi wapi. Nimepata hamasa nimuone kabisa anavyoendesha familia yake.Ndyo maana nikakuambia wewe ni mpumbavu. Hebu tafta kams ujue maana ya upumbavu.
Yani huna uelewa wa mambo yoyote zaidi ya kushinda JF na kutafta likes.
Hujui nini maana hta ya kulima kwa GH. Umeclame kuwa et GH ni zile zenge air controller cjui ventilatio sijui nini?
Dis is africa condition za hpa huwezi zilinganisha na za ulya.
Wee ni masikini wa kila kitu endelea kutafta likes wenzio wanapiga pesa wewe wasema wanatapeliwa.