Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Hajui anachotaka kusoma ndo maana anaomba ushaur s unajua wale ambao tunatoka vijijin huko unafaulu unaenda advance then unakuja kufaulu Alfu hujui what next matokeo ndo hayo SasaAsome anachokitaka yeye...
Mwambie aombe Agri engeering suaHabari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?
Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C"
Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo haelewi kabisa, please ambaye anajua course anazoweza soma kupitia hiyo Combination, yaani Course nzuri zenye fursa za kujiajiri na kuajiriwa.
Naomba Mnisaidie hapo. Pia mnaweza zitaja hata kama zipo nyingi nimrushie mwenyew achague.
Karibuni kwa mawazo.
Mungu awabariki.
Hi ipo vzr ???BAF inamhusu ARDHI. Ila awe makini asijeliwa kichwa.
SijuiHi ipo vzr ???
Anza na je mdogo wako anataka awe nani? Then anzia hapo kutafuta degree programs zinaendana na wishes zake. Anataka kuwa mchumi ikishindikana awe mwalimu au awe muhasibu au awe banker. Baada ya hapo nnda www.tcu.go.tz download 2023/24 Undergraduate Admission Guidebook kisha tafuta vyuo vinavyotoa programe za Acc, Uchumi ,Banking etc then atume maombi kwenye vyuo alivyobaini.Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?
Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu ana One ya 9 means masomo yote kapata "C"
Sasa shida inakuja kwenye Course ya kusoma maana dogo haelewi kabisa, please ambaye anajua course anazoweza soma kupitia hiyo Combination, yaani Course nzuri zenye fursa za kujiajiri na kuajiriwa.
Naomba Mnisaidie hapo. Pia mnaweza zitaja hata kama zipo nyingi nimrushie mwenyew achague.
Karibuni kwa mawazo.
Mungu awabariki.
1. Bachelor of Arts/science in Economics.Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu?