C.Thady
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 589
- 154
Jamani nimemaliza Form IV mwaka 2013 nimepata Division 1 ya 15, nilianza A - Level Moshi Technical PCB mwaka jana July, ila ilipofika October niliumwa nikashindwa kuendelea.
Mwaka huu nataka ni apply C.O (clinical officer) KCMC au Machame hospital ila sijui process zao naombeni msaada wenu wapendwa.
Nina B+ ya (Chemistry, Bios. Maths) B flat ya Physics na English + literature Nina A. Nina C mbili ya History na Geography.