Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Nimekuelewa sana na shukrani sana kwa maoni yako. Nikiri kwamba nimeshafanya udadisi muda mrefu mitandaoni kwa kulinganisha bei.Utapata Ila yanakuwa na changamoto kiasi na kwa ushauri tu kutafuta gari LA mkononi lazima uwe na uvumilivu wa kutafuta...
Akiba kama kiasi gani? Na ni lazima au muhimu sana?Yeah! Unapata ila uwe na Akiba ya fundi.
Passo ya milion 4 itakuuwa Kwa pressure kumbuka wewe bado unategemewa na familia yakoNimekuelewa sana na shukrani sana kwa maoni yako.Nikiri kwamba nimeshafanya udadisi muda mrefu mitandaoni kwa kulinganisha bei. Pia ni bora wewe umejua milioni 1 imetosha kufanya matengenezo lakini mwisho wa siku gari bado iko njema kuliko kununua kisha baada ya muda inakufa jumla! Ila hapo kwenye passo sijakuelewa mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahitaji ujasiri mkubwa sana kumiliki passo.. hahahaPasso ya milion 4 itakuuwa Kwa pressure kumbuka wewe bado unategemewa na familia yako
Katika hayo yote uliyoyataja,achana na Passo na Vitz..... Ukipata Starlet au IST walau. Kama unafundi unamjua umshirikishe sana vinginevyo pesa yako utaitupa tu.Habari wandugu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, Nina uhitaji sana wa usafiri na nimefanikiwa kupata milioni 4 hivyo nataka kununua gari.Kuna magari mengi naona yanapostiwa mitandaoni kama vile ist,vitz,starlet,passo n.k
Yapo ya namba tofauti ila mengi yanaanzia C kurudi nyuma.Je kuna mwenye uzoefu wa haya magari ya kununua mtandaoni/madalali (kiuhalisia mengi ni bei rahisi).Je yanachangamoto gani? Mambo gani muhimu ya kuzingatia?
Binafsi ningependa gari zuri la kudumu nalo muda mrefu japo bajeti inanizuia lakini kwa muda huu ningependa nipate gari zuri ambalo halitonisumbua kwa bajeti niliyonayo.
Nitangulize shukrani kwa maoni yenu.
Kwa uzoefu wangu isipungue 1mil.Akiba kama kiasi gani? Na ni lazima au muhimu sana?
Nakushauri kama pesa yako ni tia maji tia maji kama Mimi tafuta gari kama ist,spacio,Carina ti na nyingine za sample hizo .UKISOMA SAMA HAPA JUKWAANI UTAJIFUNZA MENGI SANA KUHUSU MAGARI .Nimekuelewa sana na shukrani sana kwa maoni yako. Nikiri kwamba nimeshafanya udadisi muda mrefu mitandaoni kwa kulinganisha bei.
Pia ni bora wewe umejua milioni 1 imetosha kufanya matengenezo lakini mwisho wa siku gari bado iko njema kuliko kununua kisha baada ya muda inakufa jumla! Ila hapo kwenye Passo sijakuelewa mkuu!