Nimewaza sana ndugu zangu imefika mahala nimeona niwashirikishe ili mnishauri
Katika pitapita kujifunza maisha kuna sehemu jikakuta andiko Ukiwekeza 100k kila mwezi kwa miaka 15 katika mifuko ya uwekezaji unatapata zaidi ya 50m
Sasa nikawaza mbona hii mimi naweza hata 200k kila mwezi? Inamaana nitapata 100m baada ya miaka 15?
Nikachukua calculator nipige hesabu
200,000 kwa siku niweke 7000 mbona iko ndani ya uwezo kabisa
Nafanya kazi ya kulipwa 700k kwa mwezi, pembeni nina kabiashara ka uwakala sikosi 300k kila mwezi
Nina mpango wa kuweka 3500 kila siku. Na niongeze 100k kila mwezi jumla ya 200k kila mwezi
Sehemu ya kuwekeza UTT mfuko wa PAMOJA
Kufika 2041 nitakuwa na 100m sitawaza pension wala kikokotoo.
NAOMBA USHURI HAPO ILI KUFIKIA LENGO HARAKA, Au kama kuna mtu anataka tuungane kwenye hii safari kwa ajili ya kutiana moyo.