Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimeshikdwa kusjangaa kwakweli..hawa ndo wale miaka dahari anahangaika kutoka kimaisha..kumbe akili yake ameitupia kwenye dustbinJamaa inaonekana ni fogo mkuu.
Ndio ni lazima ulipe deni twende mbele turud nyuma ulishaingizwa kwenye system na ukapewa kiasi cha kulipia hivyo ulitakiwa siku hiyo hiyo kutoa taarifa ya kutokuendelea na maswala ya leseni lkn kitendo cha kukaa mwaka mzima wao wanaamini unafanya biashara!Wamenikatalia mkuu wanasema nikitaka wanifute kwenye mfumo wao inabidi nilipe kwanza hilo deni ndio nifutwe
mANISPAA GANI?Habari ndugu zangu, mimi mwaka juzi nilienda Manispaa kwa ajili ya kukata leseni ya biashara kwa mara yangu ya kwanza ila kwa bahati mbaya sikulipia waliponipa lile karatasi ili nikalipie nikawa nimelitelekeza nakuendelea na mishe nyingine yaani inshort ile biashara sikuifanya.
Kwa sasa kuna biashara nataka kuifungua sindio nikaenda ili kulipia leseni yangu ili nianze rasmi biashara. Aiseee deni nililolikuta sio mchezo kumbe toka wakati ule wanahesabu tu hali ya kuwa biashara ile sikuifanya.
Je nauliza nitumie njia gani kuliua hilo deni bila kulilipa ili nikate leseni mpya ili nianze biashara kihalali kwa kulipia kodi zote. Maana muhudumu mwenyewe ni mkorofi sana sio mtu wakuelewesha pindi unapomuuliza ili akueleweshe.
Kiukweli ile biashara mimi sikuifanya na wala nilikuwa sijui kama ukitaka kuisimamisha leseni ili isiendelee kusoma kule itakubidi urudi utoe taarifa nilikuwa silijui hilo.
Tajiri/boss/njema kifedha.Unaweza kusema maana yafogo?
kile ktambulisho kinaangalia mtaji na sio mazingira ya biashra yaan hata uwe na frem pale mliman city lakn kama mtaji wako ni chini ya milion 4 ww chukua ktambulisho cha maguNasikia kitambulisho hakiwahusu wenye milango nawala wenye tin number
huyu ndo kaua band[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu ana lodge amechukua kitambilisho...
Serious kbs..anatembeaga nacho amening'inizahuyu ndo kaua band[emoji23][emoji23][emoji23]