Naomba ushauri kuhusu leseni ya biashara

Naomba ushauri kuhusu leseni ya biashara

Hilo suala limeshanikuta nilikata tin no mwaka2014 nikakaa miaka kadhaa mpka 2017 nilivoenda nilikuta Nina deni LA karibia lak8 na ushee ila km tz yetu unavoijua nilitoa kiasi kadhaa nikafutiwa deni so nakushauri jisachi mwite pemben muyamalize
 
Wamenikatalia mkuu wanasema nikitaka wanifute kwenye mfumo wao inabidi nilipe kwanza hilo deni ndio nifutwe
Ndio ni lazima ulipe deni twende mbele turud nyuma ulishaingizwa kwenye system na ukapewa kiasi cha kulipia hivyo ulitakiwa siku hiyo hiyo kutoa taarifa ya kutokuendelea na maswala ya leseni lkn kitendo cha kukaa mwaka mzima wao wanaamini unafanya biashara!
 
aNDIKA
Habari ndugu zangu, mimi mwaka juzi nilienda Manispaa kwa ajili ya kukata leseni ya biashara kwa mara yangu ya kwanza ila kwa bahati mbaya sikulipia waliponipa lile karatasi ili nikalipie nikawa nimelitelekeza nakuendelea na mishe nyingine yaani inshort ile biashara sikuifanya.

Kwa sasa kuna biashara nataka kuifungua sindio nikaenda ili kulipia leseni yangu ili nianze rasmi biashara. Aiseee deni nililolikuta sio mchezo kumbe toka wakati ule wanahesabu tu hali ya kuwa biashara ile sikuifanya.

Je nauliza nitumie njia gani kuliua hilo deni bila kulilipa ili nikate leseni mpya ili nianze biashara kihalali kwa kulipia kodi zote. Maana muhudumu mwenyewe ni mkorofi sana sio mtu wakuelewesha pindi unapomuuliza ili akueleweshe.

Kiukweli ile biashara mimi sikuifanya na wala nilikuwa sijui kama ukitaka kuisimamisha leseni ili isiendelee kusoma kule itakubidi urudi utoe taarifa nilikuwa silijui hilo.
mANISPAA GANI?
 
Nasikia kitambulisho hakiwahusu wenye milango nawala wenye tin number
kile ktambulisho kinaangalia mtaji na sio mazingira ya biashra yaan hata uwe na frem pale mliman city lakn kama mtaji wako ni chini ya milion 4 ww chukua ktambulisho cha magu

OVA
 
Back
Top Bottom