Hapo kwenye kupata MASHINE ndy shughuli nilisumbuka tokea mwaka jana mpka leo sijawah pata MASHINE na nilikidhi vigezo vyote, CRDB,NMB,EQUITY BANK hawana maana zaid walikula ela zanguKwema ndugu,,,,leo naomba kuuliza n banks zipi ambazo zinatoa machine za uwakala kwa kuangalia mambo yafuatayo;
1. Gharama za kupata machine
2. Vigezo vya kupata machine mfano leseni ya biashara.
3. Ipi n bora sana....kwa maana ata ikipotea au kuharibika n rahisi kupewa nyingine.
4. Huduma wanazotoa kwenye machine mfano malipo ya serikali au kulipia vifurushi vya ving'amuzi.
Bank ndogo na selcom ulipata kwa shs ngap???Hapo kwenye kupata MASHINE ndy shughuli nilisumbuka tokea mwaka jana mpka leo sijawah pata MASHINE na nilikidhi vigezo vyote, CRDB,NMB,EQUITY BANK hawana maana zaid walikula ela zangu
Niliambulia kupata mashine ya selecom na hizi bank ndogo.
Selcom machine ukipata tatizo wanatengeneza au wanakupa mpya???Hapo kwenye kupata MASHINE ndy shughuli nilisumbuka tokea mwaka jana mpka leo sijawah pata MASHINE na nilikidhi vigezo vyote, CRDB,NMB,EQUITY BANK hawana maana zaid walikula ela zangu
Niliambulia kupata mashine ya selecom na hizi bank ndogo.