rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Kwema ndugu,,,,leo naomba kuuliza n banks zipi ambazo zinatoa machine za uwakala kwa kuangalia mambo yafuatayo;
1. Gharama za kupata machine
2. Vigezo vya kupata machine mfano leseni ya biashara.
3. Ipi n bora sana....kwa maana ata ikipotea au kuharibika n rahisi kupewa nyingine.
4. Huduma wanazotoa kwenye machine mfano malipo ya serikali au kulipia vifurushi vya ving'amuzi.