Wapendwa! Naomben ushauri wenu
Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26
Kiswa B, English C, Lit Engl D
Bios, Civics, Geog---- D
Hist F and Math F
Je, anaweza kwenda kusoma advance au njia gani nyingine ya ziada ifanye ili asonge mbele kielimu?