mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Gari ndefu kama zakubebea vikapu
Kwani amekwambia haendi kubebea vikapu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ndefu kama zakubebea vikapu
Yangu ni ya mwaka 2013 yap ni dizel iko powered na Turbo chargeHii CX 5 ya mwaka gani mkuu, engine ya 2.2 bila shaka ni ya diesel?
Hakuna gari isiyo na changamoto, ila changamoto kubwa kwa wabongo ni matunzo tu, so we nunua, itunze nayo itakuheshimishaMimi nataka kununua Mazda verisa. Naipenda jinsi ilivyo. Je inachangamoto yoyote.
Unataka kuwaponza watu humu. Mazda majangaMazda CX 5 natabiri itakuja kuwa habari ya mjini ila nasikia ya enhine ya petrol ni nzuri zaidi kuliko diesel though zote zinaenda mjini , compact SUV ya kijanja.fuel consumption ni kijiko power ya hatari , safety ipo juu kwa sasa bei yake inazidi kupungua atleast USD 5000 ukilialia na wajapani unaifikisha bandarini , TRA hadi milioni 12 bandar laki 7 ukiwa na milioni 25 unavimba nalo, wamiliki wa magari acheni uoga Toyota ni brand tu kama zingine Mazda mafundi wapo sspea zipo tena genuine , mwanume na akili zake timamu ananunua dualis anaacha Mazda CX 5 apimwe mkojo
Hamna kitu kama hicho ndinga za mazda zipo nyingi hapa town sijaona gari ipo juu ya mawe, kumbuka hyo ni japanese Car.Unataka kuwaponza watu humu. Mazda majanga
Karbu utuulize tunaotumia Mazda na hayo majanga hatujui yanafananajeUnataka kuwaponza watu humu. Mazda majanga
tembelea gereji jirani, utapata jibuKarbu utuulize tunaotumia Mazda na hayo majanga hatujui yanafananaje
Kwan garage ziko gari za Mazda tu? Au ulitaka kusemaje? Na kifupi, gari ni matunzo tu, acha uoga wa kuogopa gari zingn na kukariri toyotatembelea gereji jirani, utapata jibu
Sawa Pisi kaliKwan garage ziko gari za Mazda tu? Au ulitaka kusemaje? Na kifupi, gari ni matunzo tu, acha uoga wa kuogopa gari zingn na sawa kukariri toyota
Nashukuru dem mkaliSawa Pisi kali
Issue ya dpf haisumbui kwako?Yangu ni ya mwaka 2013 yap ni dizel iko powered na Turbo charge
Kidogo ilizingua ila kuna mwamba anaitwa magoti pale sinza aliprogram control vbox na ku. Off dpf modeIssue ya dpf haisumbui kwako?
Mfano wa parts zinazo ingiliana na ToyotaMi ni fun wa mazda nimeshaimiliki hiyo gari , na kwa sasa nina mazda cx5, ni gari nzuri imara na himilivu sana kuanzia engine ,bodi imekqza sana kinachonifurahisha zaidi ni fuel consuption ,space ya ndani na coftability hii gari huwez kulinganisha na toyota wishi hata siku moja bro kama unafikiria kuagiza agiza tu ....vipuli vipo engine parts baadhi zinaangiliana na Toyota hata body parts ...karibu chama la wana mazda 4 life
Hii chanzo chake kusumbua ni kama gari inafanya frequent short trips..filter inashindwa kujisafisha yenyewe..ukiwa unafanya high way driving occasionally inasaidia kusafisha hiyo filter.. but pia inaweza tolewa ukafanya engine tunning na issue ikapotea..and ukifanya hivi uta fanya injini idumu na turbo itadumu kwakua back pressure ya injini itakua poaIssue ya dpf haisumbui kwako?
Hii chanzo chake kusumbua ni kama gari inafanya frequent short trips..filter inashindwa kujisafisha yenyewe..ukiwa unafanya high way driving occasionally inasaidia kusafisha hiyo filter.. but pia inaweza tolewa ukafanya engine tunning na issue ikapotea..and ukifanya hivi uta fanya injini idumu na turbo itadumu kwakua back pressure ya injini itakua poa
Kidogo ilizingua ila kuna mwamba anaitwa magoti pale sinza aliprogram control vbox na ku. Off dpf mode
Ndilo nililokua najiuliza tangu nimefungua uzi! Eti mtu anaagiza porte! Nissan match, Fuga, hundai hivi hua zinakuaga za promotion au advatisement au ndio mkopo nafuuWatu wanapenda vitu vya ajabu duniani hapa.....