Naomba ushauri kuhusu Mazda MPV

Mimi nataka kununua Mazda verisa. Naipenda jinsi ilivyo. Je inachangamoto yoyote.
Hakuna gari isiyo na changamoto, ila changamoto kubwa kwa wabongo ni matunzo tu, so we nunua, itunze nayo itakuheshimisha
 
Mazda CX 5 natabiri itakuja kuwa habari ya mjini ila nasikia ya enhine ya petrol ni nzuri zaidi kuliko diesel though zote zinaenda mjini , compact SUV ya kijanja.fuel consumption ni kijiko power ya hatari , safety ipo juu kwa sasa bei yake inazidi kupungua atleast USD 5000 ukilialia na wajapani unaifikisha bandarini , TRA hadi milioni 12 bandar laki 7 ukiwa na milioni 25 unavimba nalo, wamiliki wa magari acheni uoga Toyota ni brand tu kama zingine Mazda mafundi wapo sspea zipo tena genuine , mwanume na akili zake timamu ananunua dualis anaacha Mazda CX 5 apimwe mkojo
 
Unataka kuwaponza watu humu. Mazda majanga
 
Mfano wa parts zinazo ingiliana na Toyota
 
Issue ya dpf haisumbui kwako?
Hii chanzo chake kusumbua ni kama gari inafanya frequent short trips..filter inashindwa kujisafisha yenyewe..ukiwa unafanya high way driving occasionally inasaidia kusafisha hiyo filter.. but pia inaweza tolewa ukafanya engine tunning na issue ikapotea..and ukifanya hivi uta fanya injini idumu na turbo itadumu kwakua back pressure ya injini itakua poa
 

Kuna hacks kwa hii tatizo la dpf filter za mazda tho dpf husumbua kwenye gari nyingine za diesel pia

 
Kidogo ilizingua ila kuna mwamba anaitwa magoti pale sinza aliprogram control vbox na ku. Off dpf mode

Aliondoa dpf (kwa kutengemeza hole) pia?? Maana naona wengi wanasema ji lazima pia mechanically utengeneze hole (kuondoa filter ili hewa ipite tu freely isipite kwenye filter)
 
Watu wanapenda vitu vya ajabu duniani hapa.....
Ndilo nililokua najiuliza tangu nimefungua uzi! Eti mtu anaagiza porte! Nissan match, Fuga, hundai hivi hua zinakuaga za promotion au advatisement au ndio mkopo nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…