Naomba ushauri kuhusu Mercedes benz

Naomba ushauri kuhusu Mercedes benz

Pasco

Hahaaa acha hizo Pasco. Kwenye ndoa hakuna mali ya mtu, kila kitu ni cha wote. Sasa kama sio yako vipi tena ujikamue cost yote hiyo kuitengeneza gari ambayo unadai sio yako? Any way kupenda kuna mambo.

Back to topic, nimejifunza mambo haya:

1/Used spear mostly is for temporary, although it is cheaper but can ends to more cost.

2/Expensive Car is costful to buy and very costful to run.
 
Last edited by a moderator:
Inaanzaga na kuchelewa kubadili gear, reverse, gari ikipanda mwinuko kukosa nguvu na baadae zote!

Nakubaliana kabisa na huu mwanzo ila akienda kwa fundi ampe uhuru wa kufikiri na kuamua pia ila wajadiliane kabla ya kazi sababu kuna fundi ukimwambia kitu basi ye anafanya anachukua pesa yake anakuacha huku akijua kabisa kuwa utarudi tu. . . . . .na mafundi wa haya magari nadhani tunawajua tabia zao!!!!
 
Nakubaliana kabisa na huu mwanzo ila akienda kwa fundi ampe uhuru wa kufikiri na kuamua pia ila wajadiliane kabla ya kazi

sababu kuna fundi ukimwambia kitu basi ye anafanya anachukua pesa yake anakuacha huku akijua kabisa kuwa utarudi tu. . . . . .na mafundi wa haya magari nadhani tunawajua tabia zao!!!!

Yeah na ndio maana nikamtahadharisha kuhusu mafundi
 
mshana jr

Mkuu Mshana, DT Dobbie ni kweli wana bunya sana fingu, excuse yao ni genuine from Germany na wanaleta kwa DHL hivyo wanakamua sana!.

Niliwahi kuuliza headlight, hata kama imevunjika taa moja, unalazimishwa ununue set, kila taa 750,000/=, si nikaenda hapo kwa Big D, akanitolea hizo hizo genuine za Bosch kwa TZS. 500,000 pair, ila mwaka hazikumaliza zimeishaotesha ukungu!,

ndipo nikagundua jamaa anaagiza China, wanafanya copy cat hadi kuandika Bosch!, tofauti ile bosch genuine, maandishi yamevimba juu ya kioo, maandishi ya China, bosch imeandikwa kwa maandishi!, the funny part, ni genuine wanatumia crystal glass, mchina ni glass ya chupa ya kawaida, sasa mimi nilivyo bundi, mwaka haishi vioo ukungu!.

Sasa nimekuwa mzoefu nikiona hata kwa macho tuu, najua huyu mchini na hii ni genuine!. Ili kupoteza maboya, taa za benzi ukiziona ni clear glass ujue ni mchina!.

Hilo la kumiliki boda boda, si unajua tena wengine kazi zetu zinatulazimisha kuwa wajamaa, maana mwandishi kumiliki benzi, itambidi azidungulize sana haswa kwa kuzingatia vijibahasha vyenyewe vinatiwa 20,000 tuu!, ukipendelewa basi 50,000!, utavikusanya vingapi hadi vitoshe?.

Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar-ASP

Mkuu Zanzibar,

1. sio mara zone used ni temporary bali hutegemea used yenye hali gani, mfano used za japanese cars nyingi, jamaa wanayakatakata magari mapya, hivyo, unakuta spear ziko bomba. Tatizo la Benzi, kila model ya mwaka husika, na spares zake tofauti, na kila assembly na spares tofauti,

mfano: E-Class 360 ya 2006 ya assembled in Germany ni tofauti na E-class 2006 assembled in South Africa etc.

2. Ni kweli expensive car ni costiy to buy and costly tu run, ila pia iii settle in a settle, mfano hiyo yangu, ukiondoa tatizo la gear box, engine haijawahi kuguswa more than ten years!.

3. Kitumuhimu kabisa kuhusu benzi ni usalama wake, ndio the safest carwhen it comes kwenye kuchomoka bila kupinduka, na body yake ni bati nzito yenye metal reinforcement, hivyo ukigongwa hadi ubamizwe kisawa sawa vingine una very big chances za kutoumia sana.

Ukiwa ni mchini sana, kuna gari nyingine achana nazo kabisa!.

Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Pasco nimekupata vyema. Kuna mambo kadhaa mapya nimejua.

1/Kuwa na Japanese Car ni more Advantage linapokuja suala la spear, kwa kuwa it is available, most are genuine na cheaper.

2/Kumiliki expensive car ni sawa na ndoa ya kikristo, unakufa nayo hata kama huipendi kwa kuwa haichoki mazima na haiuziki hata kama unataka kuiuza.

3/High cost ya kununua gari haitegemei Brand pekee bali Board made material, Engine, uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya barabarani nk.
 
Nilishawahi peleka gari CFAO (Dt Dobie) wakanipa quotation inazidi milioni 11 nikabaki natoa jicho!
 
Habari ! kuna gari nimeanza kulitumia nina mwezi sasa ( mercdes benz c 220 , 1995 model ) shida ipo kwenye reverse transmission.

Nikiwa kwenye muinuko kidogo linagoma kurudi nyuma , ni kama linakosa nguvu lakini nikiwa kwenye level ya kawaida linarudi ila kwa shida sana

Msaada tafadhali.

Sasa Mkuu Mbona Kama Vile Unatusanifu? Hivi Na Sisi Tulio Na Maguta Tukupe Ushauri Gani Hapa? Kweli Akutukanae.......!
 
Habari ! kuna gari nimeanza kulitumia nina mwezi sasa ( mercdes benz c 220 , 1995 model ) shida ipo kwenye reverse transmission.

Nikiwa kwenye muinuko kidogo linagoma kurudi nyuma , ni kama linakosa nguvu lakini nikiwa kwenye level ya kawaida linarudi ila kwa shida sana

Msaada tafadhali.

Nenda mabibo mwisho halaf uwe kama unaenda loyola, kabla ya mnara wa simu angalia kulia kwako utaona benz zimepaki, muulizie mzee Nia ni fundi mkongwe na mzoefu sana
 
Jaribu kupita Arusha Tech College, Ni mafundi wazuri wa Mercedes Benz.
 
Pasco mkeo ndiye mmiliki wa benzi ? Kumtafakari mkeo vyanzo vya mapato yake ni haki na pia kujua wasifue Mrs Pasco !
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa ushauri wako , ila hawa mafundi wakiona ni benz na bei zinabadilika.

Ndugu yangu unamiliki benz unaogopa gharama duu kunaatua umeruka ya maisha,
Sheria ya benzi kabla hujafanya chochote lazima udiagnoses kwa computer then matokeo ndiyo matengenezo yake hakuna short huyo siyo mjapani bwana
 
Back
Top Bottom