Naomba ushauri kuhusu mradi wa mashine ya kupukuchua mahindi

Sawa lakini pia tafuta na kitu kingine inachoweza fanya hiyo mashine au kuwe na mashine ingine ya kitu kingine labda kuranda mbao au kusaga mahindi au kukoba mpunga hivi.maana yake ni kwamba mahindi yanapukuchuliwa kwa msimu mmoja tu.baada ya hapo mashine itakuwa idle mpaka kiangazi tena.lakini ukiunganisha na mashine ya shughuli nyingine unaweza fanya shughuli ya mashine kwa mwaka mzima.labda kama utatumia tractor ndiyo iwe injini.kwamba baada ya kupukuchua mahind
 
Mkuu asante kwa ushauri wako
 
Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni
 
Hii fursa poa kabisa. Tuambie mkuu bei zako unachukuaje?!
 
Back
Top Bottom