GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Wakuu heshima yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu asante kwa ushauri wakoSawa lakini pia tafuta na kitu kingine inachoweza fanya hiyo mashine au kuwe na mashine ingine ya kitu kingine labda kuranda mbao au kusaga mahindi au kukoba mpunga hivi.maana yake ni kwamba mahindi yanapukuchuliwa kwa msimu mmoja tu.baada ya hapo mashine itakuwa idle mpaka kiangazi tena.lakini ukiunganisha na mashine ya shughuli nyingine unaweza fanya shughuli ya mashine kwa mwaka mzima.labda kama utatumia tractor ndiyo iwe injini.kwamba baada ya kupukuchua mahind
Poa mkuuUtafiti ni pamoja na mashine kama hizo ziko nyingi kiasi gani huko unakotaka kuipeleka ya kwako
Ushauri wako ni mhimu piaPoa mkuu subiri waje
Hii fursa poa kabisa. Tuambie mkuu bei zako unachukuaje?!Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni