Naomba ushauri kuhusu Nissan X-Trail toleo la kuanzia 2015

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Habari wakuu.

Kuna staff mwenzangu kaniomba ushauri kuhusu Xtrail toleo la pili kuanzia 2015 anataka kununua nimpe ushauri.

Sasa ukizingatia mimi sio mtaalamu wa masuala ya magari, nikaona niombe ushauri huku kwanza ili nipate abc za kumpa.

Waomba reviews za hiyo gari wakuu.
images (8).jpeg

Ahsante sana.
 
View attachment 2199302
Ahsante sana.

Anahitaji ya petrol au ya Diesel....

Wale wanaolia na D4 kwenye Toyota hizo Nissan zina engine za muundo huo. Simply hazitaki ubabaishaji.

Nissan alichelewa sana kutumia huo mfumo.
 
Beba,ninalo lipo saafi mpaka nabebeq maji madale hapa
 
Ngoja nitembee na huu uzi, nafikiria kuwa na gari mbadala wa Toyota
 
Habari wakuu.

Kuna staff mwenzangu kaniomba ushauri kuhusu Xtrail toleo la pili kuanzia 2015 anataka kununua nimpe ushauri.

Sasa ukizingatia mimi sio mtaalamu wa masuala ya magari, nikaona niombe ushauri huku kwanza ili nipate abc za kumpa.

Waomba reviews za hiyo gari wakuu.
View attachment 2199302
Ahsante sana.
Bei yake Lazima uchechemee
 
Back
Top Bottom