The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Habari wakuu.
Kuna staff mwenzangu kaniomba ushauri kuhusu Xtrail toleo la pili kuanzia 2015 anataka kununua nimpe ushauri.
Sasa ukizingatia mimi sio mtaalamu wa masuala ya magari, nikaona niombe ushauri huku kwanza ili nipate abc za kumpa.
Waomba reviews za hiyo gari wakuu.
View attachment 2199302
Ahsante sana.
Nadhani itakua petroli mkuu.Anahitaji ya petrol au ya Diesel....
Wale wanaolia na D4 kwenye Toyota hizo Nissan zina engine za muundo huo. Simply hazitaki ubabaishaji.
Nissan alichelewa sana kutumia huo mfumo.
Sawa mkuuBeba,ninalo lipo saafi mpaka nabebeq maji madale hapa
Bei yake Lazima uchechemeeHabari wakuu.