AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
mkuu napata shida kuamini upo Mzumbe. me nikiwa diploma tu pale Mzumbe nlifanya field wizara fulani wakawa wananlipa , wenzangu wa walienda ofisi ya waziri mkuu, na wizara nyingine.
wewe umetuma barua wapi mpaka sasa ?
mkuu napata shida kuamini upo Mzumbe. me nikiwa diploma tu pale Mzumbe nlifanya field wizara fulani wakawa wananlipa , wenzangu wa walienda ofisi ya waziri mkuu, na wizara nyingine.
wewe umetuma barua wapi mpaka sasa ?
Mkuu wee toa tu msaada, hayo mengine daah, samehe tu! Nimejionea Kwa macho yng sister duuu ana MSc. Maths, hajui kufungua powerpoint application
yawezekana ndio hajui maana yawezekana software nyingne za utendaji kazi kwa upande wake ambazo ni basic anazijua. Microsift word ,entreprise softwares or maths professional softwares.but PPT si general tu.
Mi najua kwa kuwa mtu wa maths, huyu atakuwa tutor, km ni hivo ppt ni muhimu kwake! Sawa lkn, pengine atafundisha Kwa chaki ama Ms word!
kwanini upate shida sasa?.tatizo ni nini?
mkuu ahahaha,sijaulia wapi nitapata field sababu nina sehemu nyingi watu wananiahidi niwafuate wanipe field.NINACHOOGOPA KWENDA FIELD NA KUISHIA KUBEBA INVOICE TU NA KUANDIKA RECEIPTS.tatizo ni Mwanafunzi tena wa MZUMBE kuuliza wapi atapata field.
vyuo kama Kampala wao watasemaje ??
nimetuma barua NMB,KPMG,NBC na uhakika kupata. wizara ya fedha wanasema mpaka mwisho wa mwezi wa 3.CRDB jumatatu hii ndio wanaanza chukua barua.tuma barua wizara ya fedha na CRDB