Naomba ushauri kuhusu sehemu ya kufanyia field

Naomba ushauri kuhusu sehemu ya kufanyia field

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Habari wana JF.

Mimi nasoma bachelor of accounting and finance in busines sector, Mzumbe university ,mwezi wa 10 hadi wa 2 mwakani tunatakiwa tuende field.

Naomba ushauri wazoefu sehemu gani/kampuni, wizara au entity yeyote ambayo ni bora kwa kuweza pata ujuzi kwa vitendo.maana nasikia sehemu zingine si nzuri ku practise.
 
Njoo mwanza nkupe field Nyanza botling company limited. Ila mbona umeandika utumbo, sasa utaweza kuandika barua ya kuomba field kweli.

Dah kweli university kwa sasa si kitu.!!!!!%

ni PM.
 
casbias,

Mkuu wee toa tu msaada, hayo mengine daah, samehe tu! Nimejionea Kwa macho yng sister duuu ana MSc. Maths, hajui kufungua powerpoint application.
 
Last edited by a moderator:
mkuu napata shida kuamini upo Mzumbe. me nikiwa diploma tu pale Mzumbe nlifanya field wizara fulani wakawa wananlipa , wenzangu wa walienda ofisi ya waziri mkuu, na wizara nyingine.

wewe umetuma barua wapi mpaka sasa ?
 
Oky mi nimetuma barua twiga cement lakini leo nataka nipeleke National Audit office.
 
mkuu napata shida kuamini upo Mzumbe. me nikiwa diploma tu pale Mzumbe nlifanya field wizara fulani wakawa wananlipa , wenzangu wa walienda ofisi ya waziri mkuu, na wizara nyingine.

wewe umetuma barua wapi mpaka sasa ?

Kwanini upate shida sasa?. Katizo ni nini?
 
Mkuu wee toa tu msaada, hayo mengine daah, samehe tu! Nimejionea Kwa macho yng sister duuu ana MSc. Maths, hajui kufungua powerpoint application

yawezekana ndio hajui maana yawezekana software nyingne za utendaji kazi kwa upande wake ambazo ni basic anazijua. Microsift word ,entreprise softwares or maths professional softwares.but PPT si general tu.
 
Mi najua kwa kuwa mtu wa maths, huyu atakuwa tutor, km ni hivo ppt ni muhimu kwake! Sawa lkn, pengine atafundisha Kwa chaki ama Ms word!
 
Mi najua kwa kuwa mtu wa maths, huyu atakuwa tutor, km ni hivo ppt ni muhimu kwake! Sawa lkn, pengine atafundisha Kwa chaki ama Ms word!

oky basic assumption akiwa tutor atapewa training .naona hata chuoni MU kuna Ict. training kwa staffs
 
tatizo ni Mwanafunzi tena wa MZUMBE kuuliza wapi atapata field.

vyuo kama Kampala wao watasemaje ??
mkuu ahahaha,sijaulia wapi nitapata field sababu nina sehemu nyingi watu wananiahidi niwafuate wanipe field.NINACHOOGOPA KWENDA FIELD NA KUISHIA KUBEBA INVOICE TU NA KUANDIKA RECEIPTS.
DHUMINI LANGU LILIKUWA NI KUULIZA SEHEMU GAN NITAPATA FIELD YENYE KAZI NYINGI NIWEZE PATA UZOEFU,HATA NISIPOLIPWA.ILIMRADI TU NITAPEWA KAZI ZA KUTOSHA NA ZA AKILI NIWEZE PATA UZOEFU.
NINA RAFIKI YANGU KASOMA ICT,YEYE FIELD ALIKUWA ANAPIGA WINDOW TU NA KUTYPE,KAZI KUBWA NI KUWEKWA KAMA SECRETARY TU.
THANK YOU SANA.
 
tuma barua wizara ya fedha na CRDB
nimetuma barua NMB,KPMG,NBC na uhakika kupata. wizara ya fedha wanasema mpaka mwisho wa mwezi wa 3.CRDB jumatatu hii ndio wanaanza chukua barua.
thank you sana mkuu.
 
Mnajibu ujinga hivi mmeona ali chopost it's an offence because it is not april,1
 
Back
Top Bottom